Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Ndio maana naitwa Vunja bei...cm nauza bei rahis...au wewe ushazoea kupigwa bei kuubwaaa na wahindi ndio ujue kitu ni chenyewe original?? Bei zangu ni pouwa tu ili maisha yaendelee..siuzii tamaa mie
S6 edge nataka,ipo 650
 
Sasa hiyo K in maanisha nini? Kenya shiling, kwacha au unajua unapofanya biashara uwe serious sio kufanya kijingajinga utavuna ujinga huo huo.
inamaanisha k mkuu...
 
tapatalk_1487149146930.jpeg

Samsung J7 2016 bei 580k
tapatalk_1487149140840.jpeg

samsung A5 2016 bei 580k
tapatalk_1487148991355.jpeg

huawei P9 lite bei 550k
tapatalk_1487148984743.jpeg

mate 7 32GB bei 600k
 
Mkuu….
Nahitaji samsung brand kwa budget ya 250-300K
Naomba aina zilizopo
kuna j2 (hii 250k), j5 ( hii ni 370), note 2 (hii ni 350).
simu nyingne ni kama huawei p8 lite, iPhone 5, sony z1...
nichek 0654776976 for more info.
 
Back
Top Bottom