monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Mkuu nilikuwa sijakuelewa sorry sana..kumbe uliulizia tablet s2...nilijua Samsung s2, tablet s2 ipo Bei ni 600k.
Ila pia zipo na tablets nyngne za kisasa za Samsung bei kuanzia 400 mpka 550k
Una Simu Ya Laki 2,3 Mkuu,
iPhone 5s Au 6s unayo?
Bei Gani?