Sasa hiyo K in maanisha nini? Kenya shiling, kwacha au unajua unapofanya biashara uwe serious sio kufanya kijingajinga utavuna ujinga huo huo.
Hela huna wewe. Kaa kimya usiharibu biashara za watu.Used izooo.... zishaingizwa fake imei
Brand new i7 kwa Bei nzuri....
Cont: 0654776976
View attachment 460102View attachment 460103View attachment 460104
Pia kuna Smartphones nyingne Kali kwa Bei pouwa pia.
View attachment 460105View attachment 460106View attachment 460107View attachment 460108View attachment 460109View attachment 460110View attachment 460111View attachment 460112
Cont: 0654776976
Ahhaa umenivunja mbavu
Iphone 5S inakua bei gani
Pesa ya kununulia simu huna, unaulizia EFD?Receipts za EFD zipo?
Okaynichek 0654776976..kesho nakupa bei
Naona unapiga debePesa ya kununulia simu huna, unaulizia EFD?
Jamaa kajipanga, kama una hel peleka nunua chukua risiti. Acha kupiga mayowe hapa.
Je iPad nataka ya bei ya chinzpo tab A 2016, bei 500k, na tab 4 10.1 nauza 450k
nauza yang 530000 mpyaSamsung Galaxy j7 Prime
ungetaja bei ya Windows Phone. Kama ulivyotaja hizo nyingine ungekuwa umetutendea haki wapenzi wa WINDOWS PHONEnichek 0654776976..kesho nakupa bei