Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Natafta iPhone 6 Plus 500000 ipo mfukoni mwangu.... Mwenye nayo aweke picha na namba zake ntamtafta... Niko Arusha town.
 
Mkuu natafuta iPad Au tablet yoyote Ambayo ndio cheapest Ni tsh ngapi?
unaweza pata hata kwa 150 za tecno...ila sasa sio bora, ungejipanga walau uwe na 350 upate litu bora
 
Back
Top Bottom