Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Labda jamaa atatukubalia manake tumeshakuwa wawili..Na mimi naitaka hiyo iphone 5s,omba mbili bathii
Naomba nitumie tablets na iPad WhatsAppTablets zipo nying picha zitakuwa nyiingi saana...nichek whatsapp 0654776976
Hizo iPad na tabletTuma hapa if possible
K inasimama badala ya kilo yani sifuri tatu 000550k NI shs ngapi wengine mjini hapa tuna xmass Moja!
Display zpo mpyaa...kupata used ni mpka kuuliza uliza, ngoja nitajaribu kukuchekia hasa katika watu wanao uza used kwenye groups za whatsapps, Tuzid kuwasilianamkuu me nilikuwa na shda na display ya Samsung J7 used naweza pata?au kama kuna mtu yyte hko unaemuamin naomba uniambie
Mkuu sipend kumnyima mteja wangu mzigo kama biashara inalipa hata kidogo, sasa hiyo bei uliyofikia sio tu hailipi ila inashindwa hata kurudisha gharama zangu, nisinge acha kukupa simu kisa tofauti ya elfu 10,Ndigu yangu naona umenikaushia kabisa whatsapp.. Nilikuomba i phone 5s kwa 450k ukasema haiwezekani .. Nikakomaa nikatafuta 470k.. Nayo tena unakataa umekomaa na 480k?
Pamoja na kuwa nilifanya kukuomba ila umenikazia.. Nifikirie tena member wako 5s kwa 470k
[quote uid=11702 name="Saint Ivuga" post=20248064]Ndigu yangu naona umenikaushia kabisa whatsapp.. Nilikuomba i phone 5s kwa 450k ukasema haiwezekani .. Nikakomaa nikatafuta 470k.. Nayo tena unakataa umekomaa na 480k?

Pamoja na kuwa nilifanya kukuomba ila umenikazia.. Nifikirie tena member wako 5s kwa 470k[/QUOTE]
Mkuu sipend kumnyima mteja wangu mzigo kama biashara inalipa hata kidogo, sasa hiyo bei uliyofikia sio tu hailipi ila inashindwa hata kurudisha gharama zangu, nisinge acha kukupa simu kisa tofauti ya elfu 10,

5s nilizonazo ni 64GB wengine huuza had lak 6 na nusu, mimi nimekupa mpyaa kwa lak 4 na 80 tu. Naomba unielewe hiyo ndio nimejikaza roho nikashusha mpka mwisho ili uone faida ya kufanya biashara na mimi ili na kesho unilitee mteja mwingne.

Mkuu nashauri jipange uongezee hiyo elfu 10, iwe lak 4 na 80 ili ujipatie iPhone 5s ya 64GB kwa bei chee...otherwise nashauri usubiri next week zikija za 16GB nitakupa kwa hiyo 470 au hata 450 usijali.Ndigu yangu naona umenikaushia kabisa whatsapp.. Nilikuomba i phone 5s kwa 450k ukasema haiwezekani .. Nikakomaa nikatafuta 470k.. Nayo tena unakataa umekomaa na 480k?
Pamoja na kuwa nilifanya kukuomba ila umenikazia.. Nifikirie tena member wako 5s kwa 470k
Na mimi naitaka hiyo iphone 5s,omba mbili bathii
Labda jamaa atatukubalia manake tumeshakuwa wawili..
Yani nimebembeleza asiee .. Elfu 10 sina aisee ni issue.. Ila jamaa yuko poa tu customer care yake safi.
Ngoja tumsikilizie
asante ntashkurDisplay zpo mpyaa...kupata used ni mpka kuuliza uliza, ngoja nitajaribu kukuchekia hasa katika watu wanao uza used kwenye groups za whatsapps, Tuzid kuwasiliana