Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Tupo Dar es Salaam...na kuanzia mwezi wa sita tutakuwa na ofisi pia Kanda ya ziwa..Mwanza.
Oky karibuni nasi tupate huduma za sim bora maana tumechoka kukaa na simu ambazo hazikidhi ubora.
 
Izo bei zako mbona haziendani na maisha halisi ya awamu hii ya tano
 
Uwezo wako utakuwa umegotea hapo mkuu...
Hapana mkuu,

Nishakuwa na Xperia Z1 baadaye nikahamia LG G3. Kote huko ni mizinguo tu. Tangu nimeingia kwa mchina, nimetulia aisee. Ni mtizamona uzoefu wangu lakini. Inaweza isiapply kwa kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…