Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,738
- 2,409
kwahiyo TECNO ndiyo simu kuliko simu zote? unaweweza kufafanua.Mkuu,
Nipo hapa hapa Tanzania, Daslam.
kwahiyo TECNO ndiyo simu kuliko simu zote? unaweweza kufafanua.Mkuu,
Nipo hapa hapa Tanzania, Daslam.
Hizo zote ulizotumia ni za zamaani sana, ni simu za miaka minne iliyopita....kwa hiyo unapolinganisha linganisha na TECNO za miaka minne iliyopita. Na hizo ni smartphone za kati, hebu jaribu kutumia flagship kama utarudi tena kwenye hizo takataka za hali ya chini, hapo utaelewa ni kwa nini wanalenga nchi zisizoendelea.Hapana mkuu,
Nishakuwa na Xperia Z1 baadaye nikahamia LG G3. Kote huko ni mizinguo tu. Tangu nimeingia kwa mchina, nimetulia aisee. Ni mtizamona uzoefu wangu lakini. Inaweza isiapply kwa kila mtu
Hizo zote ulizotumia ni za zamaani sana, ni simu za miaka minne iliyopita....kwa hiyo unapolinganisha linganisha na TECNO za miaka minne iliyopita. Na hizo ni smartphone za kati, hebu jaribu kutumia flagship kama utarudi tena kwenye hizo takataka za hali ya chini, hapo utaelewa ni kwa nini wanalenga nchi zisizoendelea.
kwahiyo TECNO ndiyo simu kuliko simu zote? unaweweza kufafanua.
Utakuwa umeisahau kauli yako...."Simu? Ni TECNO tu. Trust me!"Hapana mkuu.
Sikusema ndiyo simu bora kuliko zote. Nimesema uzoefu wangu na smartphones umenifanya niamue kununua mchina (TECNO) sababu naona nilivyokuwa navipata kwenye Xperia z1 ndo hivyo navipata kwenye Tecno J8.
Ni mtizamo binafsi lakini. Usichukulie personal.
Utakuwa umeisahau kauli yako...."Simu? Ni TECNO tu. Trust me!"
Kama kweli unaamini kwamba utakachokipata kwenye TECNO CX ni sawa na utakachokipata kwenye HUAWEI MATE 9, au iPhone 7 au Samsung Galaxy S7, au LG G6 basi ndoto itakuwa imefikia katikati endelea kuota.
hahahaaaa eti yaishe hahaaa mkuu kaza utetee hoja unaweza kutuconviceHahahah! basi mkuu. Yaishe.
Mkuu ofisi iko mtaa gani ?Hiyo ni Tablet Note, New edition 2014, internal storage ni 32GB, unaweka Sim card, bei ya mwisho kabsa ni 600k...hivyo uko chini kiongozi
Mku Samahani, hizo simu zinakuja full boxed yaani zimefungwa kutoka kiwanda na hakuna mtu aliwahi kufungua au ni refurbished!?Tupo kariakoo
Mkuu hiyo haitoshi kumuwezesha mteja kufika ofisini kwenu. Kariakoo mtaa gani na duka linaitwaje?Tupo kariakoo