Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Hapana mkuu,

Nishakuwa na Xperia Z1 baadaye nikahamia LG G3. Kote huko ni mizinguo tu. Tangu nimeingia kwa mchina, nimetulia aisee. Ni mtizamona uzoefu wangu lakini. Inaweza isiapply kwa kila mtu
Hizo zote ulizotumia ni za zamaani sana, ni simu za miaka minne iliyopita....kwa hiyo unapolinganisha linganisha na TECNO za miaka minne iliyopita. Na hizo ni smartphone za kati, hebu jaribu kutumia flagship kama utarudi tena kwenye hizo takataka za hali ya chini, hapo utaelewa ni kwa nini wanalenga nchi zisizoendelea.
 

hahahaa! Eti takataka. Nilinununua kipindi zinatoka bosi na wala si sasa hivi. Any way nimesema ni experience yangu binafsi. Samahani kama nimekukwaza.
 
kwahiyo TECNO ndiyo simu kuliko simu zote? unaweweza kufafanua.

Hapana mkuu.

Sikusema ndiyo simu bora kuliko zote. Nimesema uzoefu wangu na smartphones umenifanya niamue kununua mchina (TECNO) sababu naona nilivyokuwa navipata kwenye Xperia z1 ndo hivyo navipata kwenye Tecno J8.

Ni mtizamo binafsi lakini. Usichukulie personal.
 
Utakuwa umeisahau kauli yako...."Simu? Ni TECNO tu. Trust me!"
Kama kweli unaamini kwamba utakachokipata kwenye TECNO CX ni sawa na utakachokipata kwenye HUAWEI MATE 9, au iPhone 7 au Samsung Galaxy S7, au LG G6 basi ndoto itakuwa imefikia katikati endelea kuota.
 

Hahahah! basi mkuu. Yaishe.
 
hahahaa! Eti takataka. Nilinununua kipindi zinatoka bosi na wala si sasa hivi. Any way nimesema ni experience yangu binafsi. Samahani kama nimekukwaza.
Hujamkwaza mtu mkuu...nadhani chief hapo anajaribu kukuelewesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…