Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

iPhone 6s 600k inapatikana!!?
 
Naweza pata simu gani kwa 250k mpaka 300 kutoka kwako kati ya samsung na lg au acer lipids
 
VUNJA BEI....

baada ya safarini kutafuta machimbo Mapya ya simu kali kali za kibabe zilizosimama kwa ubora wa kimataifa, hatimae nimerudi tena na mzigo mzito...Wateja wangu jiandaeni kupata Mali safi na latest kwa bei pooouwa kabsa.
Nakuaminia sana
 
We jamaa kuwa serious na biashara yako watu kila nusu saa tunarefresh uzi tupate update ya hyo mizigo mipya lkn naona mpka sasa kimya ulikua unabeep au tukueleweje!!??
 
Tulia...mambo mazuri hayatak haraka. ndio kwanza nimeingia mjini. bado naset mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…