Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Kwa kweli ww ni mfanyabiashara genuine, jinsi unavyowajibu wateja wako technically, nitakuja nikutembelee japo nisafishe macho tuu
Karibu sana mkuuAsnte br hapo lazima tutimbe hapo
Mkuu hizi za kuweka wino kwa sindano zinashida gani?Kama kuna anayejua sehemu wanauza printer ambazo ni nzuri na wino wake unapatikana kirahisi naomba mawasiliano na wauzaji tafadharini. Iwe Epson, Canon au Hp ila cartridge isiwe ya kuweka wino kwa sindano. Budget yangu 350,000
Honestly hatujafikia hatua ya kutuma mikoani sisi wenyewe,mikoani unatuma?
Zinazingua kuweka wino mpaka basi ndugu.Mkuu hizi za kuweka wino kwa sindano zinashida gani?
Yatemegemea chaguo lako.Laki 5 na nusu ni Samsung gani
Tablet mie sina mkuu,Weka bei za tablet
Mie nina 7 edgeBei ya 7 7edge na 7edge plus ni kiasi gani
Note 4 duos watu wengi hawaleti,Natafuta note 4 duos au s6 plain duos kama unazo
Zimeshafika mkuuNote 4 duos watu wengi hawaleti,
Mie nilikua nazo zilikaa sana.
Nadhani hadi Thursday mzigo utakua umeingia.
Utapata note 4 Duos.
Hua nauza 370k
Zimeshafika mkuu
Mkuu duka lenu lipo ilala sehemu ganiMzigo huo wa motooo
Offer Offer Offer
Samsung Galaxy note 4 Full box
Colors black and white
Price 395k
Contacts 0652332255 or 0739332255.
Tupo Ilala pia tuna deliver
View attachment 721856
View attachment 721859View attachment 721857