Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Kwa kweli ww ni mfanyabiashara genuine, jinsi unavyowajibu wateja wako technically, nitakuja nikutembelee japo nisafishe macho tuu
 
Kama kuna anayejua sehemu wanauza printer ambazo ni nzuri na wino wake unapatikana kirahisi naomba mawasiliano na wauzaji tafadharini. Iwe Epson, Canon au Hp ila cartridge isiwe ya kuweka wino kwa sindano. Budget yangu 350,000
Mkuu hizi za kuweka wino kwa sindano zinashida gani?
 
mikoani unatuma?
Honestly hatujafikia hatua ya kutuma mikoani sisi wenyewe,
Tunachokifanya kwa sasa ni kumuomba mteja amuagize mtu anayemuamini aje kumchukulia kwetu then watatumiana mwenyewe kwa possible best way kwao.

Karibu sana mkuu
 
Laki 5 na nusu ni Samsung gani
Yatemegemea chaguo lako.

Kama wapenda simu ndongo kiduchu wapata latest
Samsung Galaxy s6 edge




Kubwa yake ni
Samsung Galaxy s6 edge plus
Ila ni 600k



Kubwa, nzuri, ngumu ila haina edges
Samsung galaxy note 5
Hii 580k




Hii ni nzuri pia, ina edge on one side
Smsung galaxy note edge
Hii nauza 470k



Karibu mkuu,
Kwa maelezo ama maulizo
Please Check us
0652332255 or 0739332255
 
Mzigo huo wa motooo

Offer Offer Offer
Samsung Galaxy note 4 Full box
Colors black and white
Price 395k

Contacts 0652332255 or 0739332255.

Tupo Ilala pia tuna deliver


 

Attachments

  • IMG_2309.JPG
    47.4 KB · Views: 121
Natafuta lg g6?

Mwenye kuuza, please nipe offer yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…