sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,001
Wakuu salaam,
Niliwahi kubishana na rafiki zangu kadhaa kuhusu siku ya mwanamke kushika mimba.Rafiki zangu hawa ni wakike kwa wakiume.
Wao walikuwa wanadai kuwa mwanamke hupata mimba kwa urahisi zaidi katika kipindi ambacho yeye na mwenza wake hawakupanga.
Kwa upande wangu nilikuwa nawaeleza kuwa mwanamke anapokua kweny siku zakushika mimba lazima apate Mara tu anapokutan kimwili na mwanaume.
Jamaa mmoja akatoa ushuhuda kuwa alipangana namkewe kuwa abebe mimba tangu mwezi April mwaka huu.Anadai Walinyanduana usiku na mchana lakini hakuna mimba iliyojitokeza hadi zile siku za mkewe kubeba zikapita.
Mwezi huu jamaa anadai ndo mkewe kamwambia anahisi mimba na wameenda kupima ikathibitishwa mimba ya wiki kadhaa.Maelezo ya jamaa yakaungwa mkono na mdada mmoja ambaye alidai nae imemtokea kwa watoto wake wote wawili alionao.Anadai hakupata mimba za watoto hao katika muda aliotaka abebe mimba,badala yake ilitokea kwa wakati tofauti na aliopanga.
Wakuu,hili jambo liko hivyo au ni mapokeo kulingana na mazingira ya wahusika?
Wasalaam!