Vunja chaga, mwaga jasho la damu ila mimba inapatikana siku ambayo hamkupanga

Vunja chaga, mwaga jasho la damu ila mimba inapatikana siku ambayo hamkupanga

Hao walikua na madeni

Sperms zinatambua ugumu wa maisha zinajiua haziweki juhudi kufika shinani.

Jitahidi mlipe madeni😂😂
Umeandika kama kiutani utani lakini ni ukweli yaani kama kisaikolojia hampo vizuri wakati mwingine inasababisha
 
Mi ninavyojua sperm zile za mwanzo zinatoka kama maji maji ndo mara nyingi husababisha mimba na bao pia .

Ila bhana shetani hatari ukimgusa mwanafunzi au housegirl ,mke wa mtu kidogo hata dk 5 tayar ushampachika 😅😅😅
 
Aumbaye kiumbe tumboni ni Mungu hivyo liko kusudi la yeye kutotua tumboni kwa muda wenu bali muda wa Bwana alokusudia.. ndo mjue hata kama.science ila without God's hand haumbiki kiumbe yoyote. Ndo maana kusema kuolewa ni sheria ila kupata mtoto...ni majaliwa. Yani blessing... God is thers always
 
Hao walikua na madeni

Sperms zinatambua ugumu wa maisha zinajiua haziweki juhudi kufika shinani.

Jitahidi mlipe madeni[emoji23][emoji23]
Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa nguvu
 
Sahii kabisa,
Ukikamia Sana kupata mtoto,mimba upati[emoji4]
 
Back
Top Bottom