Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Umeandika kama kiutani utani lakini ni ukweli yaani kama kisaikolojia hampo vizuri wakati mwingine inasababishaHao walikua na madeni
Sperms zinatambua ugumu wa maisha zinajiua haziweki juhudi kufika shinani.
Jitahidi mlipe madeni๐๐
Ni ukweli mtupuBinadamu akipanga Mungu naye anapanga.
Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa nguvuHao walikua na madeni
Sperms zinatambua ugumu wa maisha zinajiua haziweki juhudi kufika shinani.
Jitahidi mlipe madeni[emoji23][emoji23]
Aah,soma maana za maneno usikariri moja mpende kujisomea jamaniPole kwa kukusumbua japo nilidhani nakusaidia