Vunjabei always disappoints

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana.

Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana dissapoit.

Low quality jersey (jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu nimeshindwa kuivaa nimetunza ndani kitambaa chepesi low quality yaan huwa naona hata zile anazotengenezea Singida ni bora kuliko zetu.

Anazindua jezi hana. Hivi kwani huyu jamaa anakurupushwaga? Simba imefuzu makundi tangu Nov inamaama jamaa hakujua Feb atatakiwa kuwa na jezi? Very poor! Kila siku we unazindua jezi na huna jezi angalau ingetokea mara moja tu but always hana jezi na hapo tar 15 zitakuja pc 2000 tu kama last time atauzia duka moja tu la sinza anaona raha sana watu wakijazana pale anachukua video kupost aonekane ana base kubwa ya wateja (chukua video siku za kawaida ambazo huna jesy au sale tuone hiyo nyomi).

Designer hana anakurupuka tu na marangi rangi yasiyoeleweka, aisee am tired of him. Na bado kuna wapuuzi wanacoment jesy kali iv ukiwa shabik ndo unapaswa uwe mpumbavu? Hupaswi hata kutumia akili yako hata kdg? Na kwenye uzi huu utayaona mambumbumbu yanacoment jesy kali [emoji23][emoji23].

Jifunze kutumia akili shabiki wa Simba mwenzangu, acha ujinga.
 
Jezi za mwaka huu hizi za M-bet mimi siwezi vaa ni jezi mbovu sana hazina mvuto
 
Mimi kifupi hata nguo kwenye maduka yake sitaki hata kuzisikia,niliwahi kununua Tshirt moja,kwa muonekano niliiona kali sana for only 10,000,baada ya kuifua tu mara moja ikapauka vibaya na kulegea....
 
Ameshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…