fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kweli uongeaji aa Morocco hata mke wangu huwa anasema hamna Kocha hapa, ila haya maneno yako ingekuwa poa sana ungezungumza kabla ya mechi. Nina uhakika stars wangeshinda usingeongea hivi.Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai,huyo hemedi morroco kuongea kwenyewe shida...
haya maneno nimeongea sana tu kabla ya mechiKweli uongeaji aa Morocco hata mke wangu huwa anasema hamna Kocha hapa, ila haya maneno yako ingekuwa poa sana ungezungumza kabla ya mechi. Nina uhakika stars wangeshinda usingeongea hivi.
hoja sio idadi ya wachezaji wa timu ipi,hoja ni mpango wa timu hakuna,hivi unamchukua kiemba na julio wawe ni sehemu ya benchinla timu ya taifa ili kucheza na congo,yupo serious kweli?Wala tusiende mbali,
Hebu tupe idadi ya wa utopolo waliocheza leo kwenye timu
na utacheka utasikia mshahara wa kocha wa taifa ni 30m ioa wanagawana na maofisa wa tffCV kubwa ya kocha wa timu ya Taifa eti ni kufundisha Namungo Fc, Coastal Union, Mlandege, nk. Halafu tutegemee maajabu!
Badala ya kujenga timu imara ya vijana na kuwapeleka kwenye academy za nje! na pia kuajiri makocha wenye CV kubwa, miaka nenda TFF na serikali ya CCM wanaokoteza tu makocha wa bei nafuu! Na nwisho wa siku tinu inaendelea kubakia kuwa kichwa cha mwendawazimu!
Hovyo kabisa.
hovyoCV kubwa ya kocha wa timu ya Taifa eti ni kufundisha Namungo Fc, Coastal Union, Mlandege, nk. Halafu tutegemee maajabu!
Badala ya kujenga timu imara ya vijana kwa kuwapeleka kwenye academy za nje! na pia kuajiri makocha wenye CV kubwa, miaka nenda TFF na serikali ya CCM wanaokoteza tu makocha wa bei nafuu! Na nwisho wa siku tinu inaendelea kubakia kuwa kichwa cha mwendawazimu!
Hovyo kabisa.
Tatizo la watanzania hata ma soccer pundits wote ni useless. Utakuta mtu hajuwi lolote kuhusu mpira na hata kucheza maishani mwake hajacheza lakini ni mchambuzi wa mpira na anaaminiwa na wananchi wasiojitambua.Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
Na siasa zipungue kwenye mpira wetu. Wanasiasa hasa wakubwa wanapenda sana sifa za kijinga kupitia soka!Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
Geita Gold yenyewe, yeye ndio aliishusha daraja..HAFAIBenchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
Kama ni hivo sawa nakubaliana na wewe, kichwani hamna kitu pale sijui kwa nini anapewa jukumu kubwa vile.haya maneno nimeongea sana tu kabla ya mechi
Timu ilikuwa na rhythm nzuri akafanya sub za kiwak za kumtoq Mwaikenda na kumuingiza Mwamnyeto🚮🚮Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
Imechangia sana. HatutoboiSawa tutalifikisha kwa mamaView attachment 3125827pppp
wachezaji wapo? Kaka unataka uwafunge Kongo wewe kwenye Ligi yako unaowachezaji wao ambao panga pangua wanaanza kwenye vilabu vyetu lakini timu ya taifa ya Kongo hawawezi hata kuwaita!haya maneno nimeongea sana tu kabla ya mechi
wachezaji hatuna lakini yeye angeweka plan ya kujaribu kumanage game sio kushindana na congowachezaji wapo? Kaka unataka uwafunge Kongo wewe kwenye Ligi yako unaowachezaji wao ambao panga pangua wanaanza kwenye vilabu vyetu lakini timu ya taifa ya Kongo hawawezi hata kuwaita!
walifanyiwa nuama eti hawana uwezoKwani wale wachezaji wazungu wanaocheza ulaya walioku wanakuja zaman kucheza mechi za Taifa Stars siku hz wapo wapi?