fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #21
watu kuwa uwanjani sio shida,hoja kubwa ni mpango upi wa kuijenga timu ya taifa?Na siasa zipungue kwenye mpira wetu. Wanasiasa hasa wakubwa wanapenda sana sifa za kijinga kupitia soka!
We angalia hata mzee wa msoga alikuwa anafanya nini cha maana kiwanjani kama siyo kutaka sifa tu endapo timu itashinda!
je tuna makocha wenye elimunna ujuzi wa kuijenga timu ya taifa?