fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #21
watu kuwa uwanjani sio shida,hoja kubwa ni mpango upi wa kuijenga timu ya taifa?Na siasa zipungue kwenye mpira wetu. Wanasiasa hasa wakubwa wanapenda sana sifa za kijinga kupitia soka!
We angalia hata mzee wa msoga alikuwa anafanya nini cha maana kiwanjani kama siyo kutaka sifa tu endapo timu itashinda!
Mama hajamteua morocco,na wala mama hafurahii timu kufungwaUnataka kuvunja muungano? Hilo halikubaliki tuko na mama mpaka 2030
Katika kero 23 za muungano alizozitatua Samia moja wapo ya masharti ktk shirikisho la mpira TFF ni kwamba pesa zinazotolewa na FIFA lazima ziende Zanzibar na pia kwa upande wa watumishi wa TFF lazima wawepo wazazibar.Mama hajamteua morocco,na wala mama hafurahii timu kufungwa
hata kama ndio hivyo hailazimishi mtu kuwa kocha kama hana vigezo,na huyo kocha kaletwa na watu wapo tff ambao wanagawana nae mshaharaKatika kero 23 za muungano alizozitatua Samia moja wapo ya masharti ktk shirikisho la mpira TFF ni kwamba pesa zinazotolewa na FIFA lazima ziende Zanzibar na pia kwa upande wa watumishi wa TFF lazima wawepo wazazibar.
peke yake haweziSasa Oscar Mirambo awe kpcha mwenyewe
huo ndio ujinga wa hali ya juuTanzagiza bhana et julio nae n miongon mwa bench la ufund
Kabisa kabisa, jana baada ya mechi alikuwa hawezi hata kuongea, jasho linamtoka mpaka kimasava.... huyo kocha au ni wa Fumba FC Mjini Magharibi....nyambafu.Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
Atafute wasaidizipeke yake hawezi
duh wewe,acha udiniTimu imejaa muslim tu kwan dini nyingine wasiitwe pia