Vurugu Kenya italetwa na mtu wa 3, na siyo Wakenya!

Vurugu Kenya italetwa na mtu wa 3, na siyo Wakenya!

kwa jinsi wakenya walivyo changanyikiwa,round hii sitoshangaa wakimtaja rais shupavu na mchapakazi wa nchi moja EA kuwa ndio anasababisha wachukiane wao kwa wao.
 
Miarabu inalia lia kuwa inagombanishwa na mzungu. Na miafrika mingine kwa ujinga nayo inaanza kuimba wimbo huo huo... Miaka nenda miaka rudi.mnagombana sabab ya upumbavu wenu mnamsingizia mzungu.

Sisi tulimkosea nini Mungu mpaka ameamua kutuacha kuwa na akili mfu kama hizi?ugomvi wa KIDINI na ugomvi wa KIKABILA... wenzetu walishatoka huko kwa asilimia kubwa.
Kwani Muzungu ni babako?
 
Back
Top Bottom