Vurugu kubwa zazuka bunge la Kenya

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Spika inaonesha dhahiri bunge limemshinda, wabunge wanazomea tu!!

source; Citizen Tv




 
Last edited by a moderator:
umeme kwetu majanga lakini ningependa kushuhudia
 
Spika wa bunge la Kenya amelazimika kuliahirisha bunge baada ya kutokea mabishano makali yaliyopelekea wabunge wa upinzani kurusha makaratasi. Hayo yametokea wakati wa kujadili jina la mteule wa kushika nafasi ya waziri wa mambo ya ndani. Nafasi iliyoachwa wazi baada ya kujiuzulu kwa Joseph Ole Lenku
 
Aisee nimeona hiyo kupitia KTN.. Na Spika aliahirisha kwa nusu saa kikao cha bunge.. Kilichonifurahisha sikuona mipasho toka upande wa pili wala wabunge kukata viuno kama wale wa kwetu..
 
aisee nimeona hiyo kupitia ktn.. Na spika aliahirisha kwa nusu saa kikao cha bunge.. Kilichonifurahisha sikuona mipasho toka upande wa pili wala wabunge kukata viuno kama wale wa kwetu..

hilo la viuno litakuwa lako na mkeo
 
Mswada ambao unajidiliwa tata kweli unagusa haki za msingi ambazo katiba mpya ya Kenya inazilinda.
 
Uzuri wa katiba ya Kenya ni kuwa waziri yeyote au nafasi yeyote ya kitaifa lazima ijadiliwe bungeni
 
kumbe sio kwetu tu? ila huko nafikiri ni wakora zaidi kwetu wapole
 
Opposition Kenya ni ngangari..mswada umefanyiwa marekebisho lakini bado unahitajika marekebisho zaidi, ukipita bungeni lazima ngumi ziwe zimetokea kidogo, niko nje ya bunge askari wapo wengi kutudhibiti sisi waandamanaji lakini hawatatueza. Kesi kortini kama wataupitisha huo mswada
 
Yote hayo ya kupitisha majina ya wateule wanaopendekezwa na rais yalikuwa kwenye rasimu ya katiba ya mh. Warioba lakini kwa umbumbumbu wa wenye kupendwa kubebwa wakafutilia mbali kwa kisingizio cha rais hawezi kumteua kilaza.
Kwetu sisi uelewa bado mdogo sana hasa wafuasi wa ccm. Jaribu kutafiti kidogo tu aina ya wateule wa rais walivyo mizigo na mbumbumbu. Yaani hawaelewi lolote juu ya uongozi bora japo wana madigrii mengi. Mfano mzuri ni wateule wote wanaohusishwa na scandal zote zilizowahi kutokea hapa nchini. Si wabunifu zaidi ya kuwa makada wa ccm eti yatosha kumpa nafasi ya kuongoza taasisi au wizara. Bravo watu wa Kenya, mpo mbali.
 
Afadjali wenzetu huwa wanathubutu hata kuzipiga, hawa wakwetu wanaogopana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…