Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Mbona mara nyingi Simba wameshachana jezi za mashabiki wa Yanga!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi wacha uzushi wa vikao vya kahawa.Mbona mara nyingi Simba wameshachana jezi za mashabiki wa Yanga!!
Fuatilia mitandaoni.Unaweza kuniambia ni hatua zipi zimechukuliwa
Leta ushahidi wacha uzushi wa vikao vya kahawa.
Polisi wanapokea pesa za bure kama mtu anashambuliwa wao wanakaa kimya wanalinda niniUkiwasikia washabiki wa Simba wanavyosema,nahisi kuna hatari kubwa inakuja huko mbele.
Suala siyo TFF kuwaadhibu Yanga,bali ni polisi kufanya uchunguzi na kuwashitaki wote waliofanya kitendo kile cha udhalilishaji
Simba day shabiki wa yanga akiwa amevaa jezi ya yanga alikaa katikati ya mashabiki wa simba bila bugudha yoyote. Ila kwa utopolo ni mwiko tena kwenye bonanza, ama kweli ni utopolo.