Vurugu ya mashabiki wa Yanga

Mbona mara nyingi Simba wameshachana jezi za mashabiki wa Yanga!!
 
Uongozi wa yanga uombe radhi, tff watoe neno, polisi washughurikie hili mapema sana.
Vinginevyo naliona janga kubwa laweza tokea siku chache zijazo.
 
Ukiwasikia washabiki wa Simba wanavyosema,nahisi kuna hatari kubwa inakuja huko mbele.

Suala siyo TFF kuwaadhibu Yanga,bali ni polisi kufanya uchunguzi na kuwashitaki wote waliofanya kitendo kile cha udhalilishaji
Polisi wanapokea pesa za bure kama mtu anashambuliwa wao wanakaa kimya wanalinda nini
 
Yule mshabiki wa Simba sc, aliyechaniwa jezi na washabiki wa Yanga siku ya Yanga day, anatafutwa na MO Dewji ampoze na machungu.
Wanaomfahamu mtaarifuni.

MO ameandika kwenye twitter yake;

"Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui! "

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…