Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina mgogoro gani?
Habari yake ina uzi humu uliletwa. CCM wamejenga shule katika eneo linalomilikiwa na Kanisa Katoliki.Ina mgogoro gani?
Chadema inahusikaje kwenye hili?Mimi ni Chadema kindaki ndaki ila kwa hiki wanachofanya kanisa la RC hakipo sawa kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni waumoni wa Rc wamevamia jengo hilo usiku mkubwa na kufanya uharibifu namna hiyo. Tupaze sauti tunaua elimu tunajenga bifu za kipuuzi. Serikali iingilie kati hili suala maana ipo siku watoto wetu watauliwa wakiwa madarasani au mabwenini. Hili halipo sawa.
Usitumie shule kutaka kuhalalisha uovu wa CCM kwenye hiyo ardhiMimi ni Chadema kindaki ndaki ila kwa hiki wanachofanya kanisa la RC hakipo sawa kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni waumoni wa Rc wamevamia jengo hilo usiku mkubwa na kufanya uharibifu namna hiyo. Tupaze sauti tunaua elimu tunajenga bifu za kipuuzi. Serikali iingilie kati hili suala maana ipo siku watoto wetu watauliwa wakiwa madarasani au mabwenini. Hili halipo sawa.
Hapo ccm hawana shida uovu upi wakati eneo halina mwenyewe unadai haki wakati huna docs za kufanya justifications.Usitumie shule kutaka kuhalalisha uovu wa CCM kwenye hiyo ardhi
Hujui historia ya ardhi hiyoHapo ccm hawana shida uovu upi wakati eneo halina mwenyewe unadai haki wakati huna docs za kufanya justifications.
njoo lugufu tule vyombo mkuuNipo Uvinza leo nikiranda randa mitaa
Hili lijamaa ni HOHOChadema inahusikaje kwenye hili?
Elezea historia ya mgogoro husika tupate picha kamili.