Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

Naona picha ya BOMA, vurugu Gani tena
 
Mimi ni Chadema kindaki ndaki ila kwa hiki wanachofanya kanisa la RC hakipo sawa kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni waumoni wa Rc wamevamia jengo hilo usiku mkubwa na kufanya uharibifu namna hiyo. Tupaze sauti tunaua elimu tunajenga bifu za kipuuzi. Serikali iingilie kati hili suala maana ipo siku watoto wetu watauliwa wakiwa madarasani au mabwenini. Hili halipo sawa.
 
Yaani mtoa mada anahisi wote tupo huko uvinza na tunajua kinachoendelea.
 
Weka nyama kidogo mwalimu..nini chanzo na nani kabomoa, hatua gani zimechukuliwa na serikali maana hii ni kumtekenya mama Samia ili hali halali na apumziki kwao zanzibar ili watoto wapate madarasa.
 
Hapo kuna kiwanja cha kanisa katoliki na mahakama nadhani ilithibitisha sasa hao shule ya ccm waliamriwa kuhama nadhani sasa walipoanza kujenga tena ndio vurugu zimezuka, wanajenga vipi wakati wanatakiwa kuhama kisheria,
 
Chadema inahusikaje kwenye hili?

Elezea historia ya mgogoro husika tupate picha kamili.
 
Reactions: y-n
Usitumie shule kutaka kuhalalisha uovu wa CCM kwenye hiyo ardhi
 
Usitumie shule kutaka kuhalalisha uovu wa CCM kwenye hiyo ardhi
Hapo ccm hawana shida uovu upi wakati eneo halina mwenyewe unadai haki wakati huna docs za kufanya justifications.
 
Nipo Uvinza leo nikiranda randa mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…