instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kwahakika wananchi sasa wameamka anawezaje waongoza watu wasiemtaka kiasi hichi Mkulu .Akiangalia hii mikutano anajisikiaje? Aende akawashukuru waliemchaguwa kama wenziwe kina JkWote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu umefanya serikali yetu kutumia matrillion ya Hela kufanya repairment na ujenzi upya.
Leo hii watumishi wa umma na wananchi wengine tungekuwa mbali sana kimaendeleo lakini chadema wanahujumu uchumi wetu chadema hawataki nchi ipate msaada ili hali familia za viongozi wa chadema zinaishi kwa misaada huko Canada na marekani.
Imagine sasa uchumi unatengemaa lakini bado viongozi wa chadema wanahubiri Vurugu, bado viongozi wa chadema hawataki nchi ipate misaada, nyie viongozi wa chadema....Your stupid! Ni wapumbavu!
Kipekee nampongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa ku maintain uchumi wa nchi, kwasababu licha ya vurugu zote zilizo athr uchumi wa nchi lakini watumishi wa umma wanapanda madaraja, wanalipwa arrears na huku wakulima mbolea za ruzuku zimejaa Kila Kona. Hongera sana Mh Rais 🇹🇿 kwa ubunifu na uongozi Bora.
Hongera kwa kazi mkuu , ila kumbuka kama una mke na watoto na ndugu wanakula kupitia hii kazi basi jua kabisaa unawalisha laana ambayo itawapa shida sana mbeleniWote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu umefanya serikali yetu kutumia matrillion ya Hela kufanya repairment na ujenzi upya.
Leo hii watumishi wa umma na wananchi wengine tungekuwa mbali sana kimaendeleo lakini chadema wanahujumu uchumi wetu chadema hawataki nchi ipate msaada ili hali familia za viongozi wa chadema zinaishi kwa misaada huko Canada na marekani.
Imagine sasa uchumi unatengemaa lakini bado viongozi wa chadema wanahubiri Vurugu, bado viongozi wa chadema hawataki nchi ipate misaada, nyie viongozi wa chadema....Your stupid! Ni wapumbavu!
Kipekee nampongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa ku maintain uchumi wa nchi, kwasababu licha ya vurugu zote zilizo athr uchumi wa nchi lakini watumishi wa umma wanapanda madaraja, wanalipwa arrears na huku wakulima mbolea za ruzuku zimejaa Kila Kona. Hongera sana Mh Rais 🇹🇿 kwa ubunifu na uongozi Bora.
Hata hii nimejibu mwenyewe kwani shida ipo wapiUnaanzisha mada na unajijibu mwenyewe ujinga huu
Tafuta Toyota 300 series la kwako. Ondoa roho za ufukara hapaKwani washamaliza kujinunulia Toyota 300 series hadi kwa makatibu kata hadi waje wakuongeze mshahara kenge wewe usiye hata na tija duniani?
Wanaokula laana ni hawa hapa chiniHongera kwa kazi mkuu , ila kumbuka kama una mke na watoto na ndugu wanakula kupitia hii kazi basi jua kabisaa unawalisha laana ambayo itawapa shida sana mbeleni
Tafuta Toyota 300 series la kwako. Ondoa roho za ufukara hapa
Wanaokula laana ni hawa hapa chini
Pole sana MkuuHuu mchezo hauhitaji hasira chawa, watakukumbuka wakishamaliza wakupe makombo, wapo bize sasa hivi jikoni wanakula mafuta
Pole sana Mkuu
Hyo pole ni pole ya mambo mengi sanaPole wewe unayesubiri mshahara wa nyongeza, mi naugua kwani hadi unipe pore? (in jiwez voice)😛
New member!Hongera sana Mh Rais Dr Samia kwa uongozi uliojaa ubunifu mkubwa wa kutuletea maendeleo watanzania
Hyo pole ni pole ya mambo mengi sana
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELEMpe pore mama yenu kwa maumivu chadema haina cha kumsaidia, chawa mpo bize kumpa faraja ataongeza posho hopefully!
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
Masiki weeee, unaitangaza Chadema kwa malipo toka CCM.Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu umefanya serikali yetu kutumia matrillion ya Hela kufanya repairment na ujenzi upya.