instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
- #21
Naitangaza chadema kivipiMasiki weeee, unaitangaza Chadema kwa malipo toka CCM.
Naitangaza chadema kivipiMasiki weeee, unaitangaza Chadema kwa malipo toka CCM.
Kwa vile huna akili hata huwezi kuelewa kazi unayofanya inaleta matokeo gani. Endelea kujaza threads zako za Chadema. Hata mwenezi wenu nate kutwa kuitangaza Chadema tu badala ya kuisemea CCM yake.Naitangaza chadema kivipi
Chadema ni laanaKwa vile huna akili hata huwezi kuelewa kazi unayofanya inaleta matokeo gani. Endelea kujaza threads zako za Chadema. Hata mwenezi wenu nate kutwa kuitangaza Chadema tu badala ya kuisemea CCM yake.
CCM hii haina tofauti na Bokoharam.Chadema ni laana
Na kweli, kazi ya kuteka na kuua watu inaendelea, maana shetani hajawahi kulala usingizi.KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
Watekaji ni chademaNa kweli, kazi ya kuteka na kuua watu inaendelea, maana shetani hajawahi kulala usingizi.
CCM hii haina tofauti na Bokoharam.
Hatuna Tanganyika tuna TANZANIAKwa sasa, hakuna shetani na adui mkubwa wa Watanganyika, zaidi ya CCM na watawala wake. Hao ndio wanaoteka na kuwaua watanganyika, ndio wanaopora rasilimali za Watanganyika, na ndio wanaowatawala watanganyika kwa nguvu, na kuwaua wote wanaohoji. Hakujawahi kutokea adui mbaya zaidi ya CCM katika historia ya nchi hii. Hata mkoloni hakuwahi kuwatendea uovu wa kiwango hiki watanganyika.
Andika vzuri mkuu punguza idadi ya nuktaHii ni hasara aki. Ila sitakulaumu coz ndo akili yako ya kizezeta imekufikisha.
Watekaji ni chadema
Kwanza hakuna mtumishi wa umma ambaye yupo chedema.Takataka weewe, chadema ndo iliua watanganyika,chadema ndo Ina mamlaka ya hazina.
Eti nawewe unafanya propaganda za kuichonganisha chadema na watumishi wa umma, utafanikiwa kwa wajinga wachache sana
huna jipya mkuu kapambane na hali yako serikali yenu iliyojifilisi yenyewe mnataka itoe wapi pesa za kuwaongezea mishahara na bado hamjawa sisi chadema tutawapelekesha hadi mwisho na hatutakubali kuwekwa makwapani yanayonuka wekeni hivyo vyama vingne lakini sio chadema mishahara mnayoongezwa na bado mnakufa maskini tu hapa sijaweka nukta ili ueleweAndika vzuri mkuu punguza idadi ya nukta
Kwanza hakuna mtumishi wa umma ambaye yupo chedema.Takataka weewe, chadema ndo iliua watanganyika,chadema ndo Ina mamlaka ya hazina.
Eti nawewe unafanya propaganda za kuichonganisha chadema na watumishi wa umma, utafanikiwa kwa wajinga wachache sana
Chadema ndo wanahujumu maendeleo ya Tanzaniahuna jipya mkuu kapambane na hali yako serikali yenu iliyojifilisi yenyewe mnataka itoe wapi pesa za kuwaongezea mishahara na bado hamjawa sisi chadema tutawapelekesha hadi mwisho na hatutakubali kuwekwa makwapani yanayonuka wekeni hivyo vyama vingne lakini sio chadema mishahara mnayoongezwa na bado mnakufa maskini tu hapa sijaweka nukta ili uelewe
Chadema inajaza ess?Wote tumeona na kusikia kauli na matamshi ya viongozi wa chadema Toka mwaka Jana kiasi cha kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu yetu ambayo imejengwa kwa garama kubwa, uharibifu huu umefanya serikali yetu kutumia matrillion ya Hela kufanya repairment na ujenzi upya.
Leo hii watumishi wa umma na wananchi wengine tungekuwa mbali sana kimaendeleo lakini chadema wanahujumu uchumi wetu chadema hawataki nchi ipate msaada ili hali familia za viongozi wa chadema zinaishi kwa misaada huko Canada na marekani.
Imagine sasa uchumi unatengemaa lakini bado viongozi wa chadema wanahubiri Vurugu, bado viongozi wa chadema hawataki nchi ipate misaada, nyie viongozi wa chadema....Your stupid! Ni wapumbavu!
Kipekee nampongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa ku maintain uchumi wa nchi, kwasababu licha ya vurugu zote zilizo athr uchumi wa nchi lakini watumishi wa umma wanapanda madaraja, wanalipwa arrears na huku wakulima mbolea za ruzuku zimejaa Kila Kona. Hongera sana Mh Rais 🇹🇿 kwa ubunifu na uongozi Bora.
Uwe unasoma post na kuzielewa siyo unakurupuka tu.Chadema inajaza ess?
Lakn zile familia ambazo mnazilisha hela zilizopatkana kwa kupora maduka na kuchoma miundombinu, hao mnawalisha baraka ee?Hongera kwa kazi mkuu , ila kumbuka kama una mke na watoto na ndugu wanakula kupitia hii kazi basi jua kabisaa unawalisha laana ambayo itawapa shida sana mbeleni