Vurugu za CHADEMA ndizo zimesababisha watumishi wa umma wasiongezewe mishahara

Naitangaza chadema kivipi
Kwa vile huna akili hata huwezi kuelewa kazi unayofanya inaleta matokeo gani. Endelea kujaza threads zako za Chadema. Hata mwenezi wenu nate kutwa kuitangaza Chadema tu badala ya kuisemea CCM yake.
 
Kwa vile huna akili hata huwezi kuelewa kazi unayofanya inaleta matokeo gani. Endelea kujaza threads zako za Chadema. Hata mwenezi wenu nate kutwa kuitangaza Chadema tu badala ya kuisemea CCM yake.
Chadema ni laana
 
CCM hii haina tofauti na Bokoharam.

Kwa sasa, hakuna shetani na adui mkubwa wa Watanganyika, zaidi ya CCM na watawala wake. Hao ndio wanaoteka na kuwaua watanganyika, ndio wanaopora rasilimali za Watanganyika, na ndio wanaowatawala watanganyika kwa nguvu, na kuwaua wote wanaohoji. Hakujawahi kutokea adui mbaya zaidi ya CCM katika historia ya nchi hii. Hata mkoloni hakuwahi kuwatendea uovu wa kiwango hiki watanganyika.
 
Hatuna Tanganyika tuna TANZANIA
Watekaji ni chadema
 

Attachments

  • 20260522_081856.jpg
    53.6 KB · Views: 7
Hii ni hasara aki. Ila sitakulaumu coz ndo akili yako ya kizezeta imekufikisha.
 
Watekaji ni chadema


Hakuna muuaji mwenye akili timamu. Damu za watu huleta laana. Ndiyo maana unaona wauaji wote, hawana akili sasa hivi , kama ulivyo wewe! Ndiyo maana wengine utawadlsikia wakiropoka eti watu wanajiteka na kujiua. Yaani Ali Kibao alijiteka, akaenda kujitesa, akajiua, baada ya kujiua akajimwagia tindikali, halafu akajibeba akaenda kujitupa Mabwepande. Hapo ndiyo unajua jinsi damu ya mwanadamu ilivyo na laana. Kwa jina la Mungu mkuu, Mungu wa haki, hakika laana hiyo haitaishia kwenu tu, ni lazima ikafike mpaka kwa wana wa wana wenu.
 
Takataka weewe, chadema ndo iliua watanganyika,chadema ndo Ina mamlaka ya hazina ya kuweza kuamua malipo ya watumishi wa umma?

Eti nawewe unafanya propaganda za kuichonganisha chadema na watumishi wa umma, utafanikiwa kwa wajinga wachache sana
 
Takataka weewe, chadema ndo iliua watanganyika,chadema ndo Ina mamlaka ya hazina.

Eti nawewe unafanya propaganda za kuichonganisha chadema na watumishi wa umma, utafanikiwa kwa wajinga wachache sana
Kwanza hakuna mtumishi wa umma ambaye yupo chedema.
Chadema ni mashetani wa TANZANIA yamefanya watumishi wa umma wasiongezewe mishahara
 
Andika vzuri mkuu punguza idadi ya nukta
huna jipya mkuu kapambane na hali yako serikali yenu iliyojifilisi yenyewe mnataka itoe wapi pesa za kuwaongezea mishahara na bado hamjawa sisi chadema tutawapelekesha hadi mwisho na hatutakubali kuwekwa makwapani yanayonuka wekeni hivyo vyama vingne lakini sio chadema mishahara mnayoongezwa na bado mnakufa maskini tu hapa sijaweka nukta ili uelewe
 
CHADEMA wanarudisha maendeleo nyuma na kutia hasara taifa wananchi tuamke tuwapuuze.
 
Takataka weewe, chadema ndo iliua watanganyika,chadema ndo Ina mamlaka ya hazina.

Eti nawewe unafanya propaganda za kuichonganisha chadema na watumishi wa umma, utafanikiwa kwa wajinga wachache sana
Kwanza hakuna mtumishi wa umma ambaye yupo chedema.
Chadema ni mashetani wa TANZANIA yamefanya watumishi wa umma wasiongezewe
Chadema ndo wanahujumu maendeleo ya Tanzania
 
Chadema inajaza ess?
 
Hongera kwa kazi mkuu , ila kumbuka kama una mke na watoto na ndugu wanakula kupitia hii kazi basi jua kabisaa unawalisha laana ambayo itawapa shida sana mbeleni
Lakn zile familia ambazo mnazilisha hela zilizopatkana kwa kupora maduka na kuchoma miundombinu, hao mnawalisha baraka ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…