Vurugu za CHADEMA ndizo zimesababisha watumishi wa umma wasiongezewe mishahara

CHADEMA wanahusika na vurugu gani?,...yaani kuna watu bado wanaamini mpinzani wao ni CHADEMA.Hata kama CHADEMA ikifutwa leo,upinzania utakuwepo kwa sababu walipozuia demokrasia upinzani ukahamia kwa mtu mmoja mmoja,huu ndo upinzani mbaya zaidi maaana upo moyoni
 
Ndo mana mnalishwa bando na maria Sarungi akili kichwani sifuri kabisa
Uliishia darasa la ngapi hata ukawa mjinga hivi mkuu?
Kusema kwamba Samia alikuwa ndugu, jamaa na rafiki zetu hapo October 29 ni lazima umsikilize maria?
Kwamba serikali ya ccm inaiwa watu, Ina wateja, kuwalawiti na kubambikia watu kupitia kwa mafwele na Abdul siyo kweli?
Yupo wapi balozi Humphrey polepole?
 
Kama hujui kama chadema ni Chama cha VURUGU basi huna akili
 
Chadema ndio wamefungua TAWI la CRDB huko Dubai?

CHADEMA ndio wameuza Bandari na Mbuga huko Ngorongoro?

CHADEMA ndio wamenunua yale ma Bugati na Magari mengine ya Kifahari?

CHADEMA ndio wamekopa zaidi ya Trillion 60 ndani ya Miaka 4 na wakazigawana?

CHADEMA ndo wameficha zile Ndege zetu Mbili?

Tofauti ya ubongo wako na mbolea ni joto na harufu tu
 
Chadema wameomba familia zao zilelewe na serikali ya canada
 
Kwasasa kodi inakusanywa na CHADEMA na waliongoza bunge la bajeti na kutenga tilioni moja kwa ajili ya safari zao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh great thinker wa uvCCM kwanini serikali isiseme hayo na kuwatangazia wananchi?
 
CHADEMA ndio wamefanya pia hizo $20 zenu mnazokatwa walimu zisijulikane zinaenda wapi?

 
madaraja ni haki ya mtumishi kisheria ,hata hayo madaraja yamewekewa vikwazo vya mfumo wa pemiss hadi leo mfumo kwenye account za watumishi pamoja na kujaza taarifa zao kuna baadhi ya taarifa zinamiss jiulize huu mfumo ni mfumo au kichwkesho,
 
madaraja ni haki ya mtumishi kisheria ,hata hayo madaraja yamewekewa vikwazo vya mfumo wa pemiss hadi leo mfumo kwenye account za watumishi pamoja na kujaza taarifa zao kuna baadhi ya taarifa zinamiss jiulize huu mfumo ni mfumo au kichwkesho,
Kuna sehemu umeona nimeandika madaraja? Unakurupuka sana
 
Ukishakuwa huna jambo la kufanya huko hujifanya ww ndio mwenye hatimiliki na hiii nchi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…