Vurugu za kisiasa zinazoendelea Kenya zanufaisha utalii Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
=

SUNDAY, OCTOBER 15, 2017

Vurugu za kisiasa zinazoendelea Kenya zanufaisha utalii Tanzania

[http://www]

Kwa ufupi

Kwa sasa Kenya ipo katika kipindi cha vurugu za kisiasa, zikitawaliwa na maandamano tangu Mahakama ya Juu ifute uchaguzi wa Rais baada ya kubaini ukiukwaji wa taratibu.

By Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz

Hali ya kisiasa nchini Kenya imegeuka neema kwa wadau wa utalii nchini ambao wanadai kuwa idadi ya watalii wanaoingia nchini, imeongezeka kutokana na baadhi yao kuahirisha safari zao nchini Kenya kwa sababu ya hofu ya usalama.

Umoja wa wapinzani, Nasa ambao ulifungua kesi hiyo umekataa kushiriki marudio ya uchaguzi na sasa wafuasi wake wanaendesha maandamano yanayosababisha mapambano na polisi.

Jana katika maonyesho ya siku tatu ya kimataifa ya utalii yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC), baadhi ya wadau wa utalii na mawakala walisema idadi ya watalii imeongezeka kwasababu wanaogopa kwenda Kenya.

“Watalii wengi wanasema hupendelea kwenda Kenya kwa sababu ya miundombinu yao ni mizuri na unafuu wa gharama za utalii. Lakini sasa wanahofia usalama wao kutokana na hali ya kisiasa iliyopo,” alisema Francis Lohay, mkuu wa fedha wa kampuni ya Bougain Villea Safari Lodge.

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kitalii ya Patamu Lodge, Raymond Massae alisema kwa sasa watalii hawapendelei kwenda Kenya, hivyo ni fursa kwa wadau wa ndani lakini Serikali inapaswa kuongeza utangazaji wa vivutio vya utalii na sio kutegemea anguko la wengine.

pic+kenya.jpg

Uhuru afungulie wanajeshi hao vikaragosi wataufyata anacheza makida anavyopoteza muda hadi sasa
 
Polepole ni kivutio cha utalii, nashauri atangazwe sanaaa!
 
Even with political instability and terrorism threats, we still have more tourists...this is 2015 data.
upload_2017-10-16_7-43-6.png
upload_2017-10-16_7-43-29.png
 
"Serikali inapaswa kuongeza utangazaji wa vivutio vya utalii na sio kutegemea anguko la wengine." Mwisho wa kunukuu
 
Even with political instability and terrorism threats, we still have more tourists...this is 2015 data.
View attachment 610352View attachment 610353
This is another area which you need to think critically, what is the importance of having tourists, is not to see them or take selfie with them, is a business, you need money, therefore instead of comparing number of tourism, just compare how much you get from them, this is another area Kenya needs to learn from Tanzania, why Kenya receives more tourist, but Tanzania gets three times revenue than Kenya
 
Watalii maskini versus watalii matajiri..

We attract the later..
 
Back
Top Bottom