kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya.
Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea.
Kama JMP angekuwahai kusingekuwa na vurugu zile. Tusije tukadhani eti Katiba mpya isipopatikana zile vurugu zitatokea tena 2030, sio kweli. Kuna watu wanataka kutumia fursa ile kutimiza matamanio yao. RAIS asije akaingia huu mkenge.