Vurugu za Oct29 hazitokani na madai ya Katiba mpya. Tusichanyanye mambo hapa

Fanyeni yote lkn hakikisheni 2030 Kunakuwa na uchaguzi huru na wa haki, vyama vyote vifanye kampeini kwa usawa na vishindane kwenye sanduku la kura kwa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…