Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi.

Ni mratibu wa zoezi la kusikiliza kero za wananchi Emmanuel Luhamba akionya migambo kutotoa upendeleo kwananchi ambao wamejitokeza kuomba vitambulisho vya NIDA ambapo wakiwa kwenye foleni kwa zaidi ya saa 8 wanaeleza changamoto za wizi na ugomvi ulioibuka huku sababu ikitajwa kuwa ni upendeleo wa baadhi ya watu na kisha kushauri serikali kupeleka huduma hiyo kwenye kata na vijiji ili kuepukana na mrundikano huo wa watu.

 
Wabena na Wakinga wanagombania NIDA ili wakaanzishe biashara,
😂😂😂😂😂
 
Hao ndo wanaokwenda kuweka lamination kwenye vitambulisho
 
Back
Top Bottom