Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hawa watu ni wa Njombe kweli? Mbona kama warefu hiviMpaji Mungu nimekuwahi maana huchelewi kunitag πππ
Watakuwa wa migombani ππHawa watu ni wa Njombe kweli? Mbona kama warefu hivi
Migombani vitambulisho tunaletewa nyumbani. Kuna maroboti yanatiwa tu address husika likifika unatia fingerprint zikimatch linakupa ID yakoWatakuwa wa migombani ππ
πππ wacha weeMigombani vitambulisho tunaletewa nyumbani. Kuna maroboti yanatiwa tu address husika likifika unatia fingerprint zikimatch linakupa ID yako
Tushasahau kukaa kwenye foleniπππ wacha wee