Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mambo ya Halima James Mdee yamevuruga sana!

Halafu kuna wapuuzi walikuwa wanasema cdm waende mahakamani wakafungue mashtaka kama wameibiwa kura, kisha mahakama ndio hizo zinaagizwa na wahuni wachache wa serekali jinsi ya kuendesha kesi.
 
Una uhakika aliyoandika huyo mleta mada. Mimi siamini Mahakama haiwezi toa hukumi mbili kwa wakati mmoja.
Siyo uhakika tu bali kuna jamaa zangu wanasimamia hizo kesi kwa upande wa utetezi.
Ni kipofu tu wa 'akili' hatoona kinachoendelea katika mahakama zetu specific kesi za kisiasa.
 
Umeandika kishabiki sana hata hueleweki!! wafuasi wa Lissu akili zenu mnazijua wenyewe
 
Ule ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura kila mtu aliuona dogo.
Sehemu nilipopigia mimi kura yaani hakukuwa na shida yoyote na wapinzani walishindwa kihalali kabisa!
 
Siyo uhakika tu bali kuna jamaa zangu wanasimamia hizo kesi kwa upande wa utetezi.
Ni kipofu tu wa 'akili' hatoona kinachoendelea katika mahakama zetu specific kesi za kisiasa.
Utopolo tu huu unaoandika hapa hakuna hoja!
 
Ni kweli Mahalama ya Hakimu Mkazi haina mamlaka ya kutoa dhamana kwenyr uhujumu uchumi
 
Ni kweli Mahalama ya Hakimu Mkazi haina mamlaka ya kutoa dhamana kwenyr uhujumu uchumi
Washtakiwa wote 20 wana kesi ya uhujumu uchumi? walichohujumu ni nini?
Upuuzi wa viwango wa utapeli wa pesa za covid19!
 
Kwani Rais haoni kuwa watu wake maskini wanateseka kwa yeye kuwepo madarakani madaraka amepata sasa kwanini asiwaachie watu wasio na makosa hao?
Huyo unayemrejea kama Rais ndo baba la wahuni.
 
Kwani Rais haoni kuwa watu wake maskini wanateseka kwa yeye kuwepo madarakani madaraka amepata sasa kwanini asiwaachie watu wasio na makosa hao?
Kwani hiyo mahakama imesharamka kuwa watu haa hawana makosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…