Vurugu zavuruga tamasha la Diamond Uingereza mwenyewe aomba radhi

Hapa itakuwa Nigeria, Uingereza gani sioni mzungu hata mmoja?
Wanaoingia shoo kama hizi ni hawa wachovu wachovu kutoka Afrika wanaofanya vibarua vya hapa na pale. Tofauti na hao hakuna mtu anayemjua sembuse kwenda sehemu kama hizo.
 
utashangaa jitu linakuja linasema " Eti kiba vipi hajausika kweli mmh au kalipa kisasiii maana alizimiwa maiki siku ile [emoji23]"
 
Wanaoingia shoo kama hizi ni hawa wachovu wachovu kutoka Afrika wanaofanya vibarua vya hapa na pale. Tofauti na hao hakuna mtu anayemjua sembuse kwenda sehemu kama hizo.
Ahaa!!! nimekuelewa ndio maana kumbe ni wale wabeba mabox? ndio maana hata kaukumbi kapo kama karakana fulani. Kumbe ubaguzi bado upo ulaya yaani ngozi nyeupe hata moja???
 
Ahaa!!! nimekuelewa ndio maana kumbe ni wale wabeba mabox? ndio maana hata kaukumbi kapo kama karakana fulani. Kumbe ubaguzi bado upo ulaya yaani ngozi nyeupe hata moja???
Mkuu hapo issue siyo ubaguzi. Hapo issue ni kuwa Diamond hajafahamiki Ulaya! Wanaomfahamu ni hii type ya waafrika niliyokueleza. Otherwise kuna wanamuziki ma-black wengi ni maarufu na wanapiga sehemu maarufu.
 
Husikii hiyo ''pegion english'' ya mi-west afrika inayoongea kama ina ugali mdomoni?

Na takwimu za dunia za pato la taifa zitasema West Africans wameingiza hela nyingi kutokana na show za Diamond wakifuatiwa na Kenya.

Na sababu ni hiyo hiyo "pigeon english" unayoidharau ambayo sisi hatuiwezi.

Kwani ni nchi gani duniani zinaongoza kwa kuuza Tanzanite? Ni hivyo hivyo hata ukienda Tandale kwa Mtogole na Madale kwa Kawawa yanakopatikana madini ya Diamond-Platinum duniani, wao wanabaki na makinikia tu.
 
Wanaoingia shoo kama hizi ni hawa wachovu wachovu kutoka Afrika wanaofanya vibarua vya hapa na pale. Tofauti na hao hakuna mtu anayemjua sembuse kwenda sehemu kama hizo.
Sababu kubwa iliyo nyuma ya maendeleo duni ya Muafrika..!
Arrogance..!
Mtu mweusi anajisikia mno,mtu mweusi ana dharau sana..!
Akiwa na uwezo wa kupata milo mitatu tu kwa siku,anahisi amememaliza kila kitu na hauwezi kumuambia kitu chochote..!
Mtu mweusi anashangaza sana..!!!
 
Wanaoingia shoo kama hizi ni hawa wachovu wachovu kutoka Afrika wanaofanya vibarua vya hapa na pale. Tofauti na hao hakuna mtu anayemjua sembuse kwenda sehemu kama hizo.
At least yeye anafahamika hata na hao wachovu wa Ulaya kutoka Afrika, wewe jaribu kuandaa show mtaani kwenu uone kama hata hao wachovu wa uswazi utawapata zaidi ya mumewako
 
At least yeye anafahamika hata na hao wachovu wa Ulaya kutoka Afrika, wewe jaribu kuandaa show mtaani kwenu uone kama hata hao wachovu wa uswazi utawapata zaidi ya mumewako
1. Mimi siyo mwanamziki na wala sipendi kabisa kuwa mwanamziki hivyo hakuna siku nitaandaa show mtaani kwetu.
2. Mimi ni mwanamume hivyo sina mume bali nina mke.
 
Unafikiri ni ''wenye London'' wanahudhuria huu uchafu? Husikii hiyo ''pegion english'' ya mi-west afrika inayoongea kama ina ugali mdomoni? Shoo kama hizi wanaingia wachovu wachovu kutoka Africa.
[emoji3] [emoji3] kama ina ugali mdomoni duuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…