macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wanaoingia shoo kama hizi ni hawa wachovu wachovu kutoka Afrika wanaofanya vibarua vya hapa na pale. Tofauti na hao hakuna mtu anayemjua sembuse kwenda sehemu kama hizo.Hapa itakuwa Nigeria, Uingereza gani sioni mzungu hata mmoja?