Vurugu zazuka mazishini Kitutu Chache baada ya Wabunge kugombana kuhusu Rais Ruto

Vurugu zazuka mazishini Kitutu Chache baada ya Wabunge kugombana kuhusu Rais Ruto

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Sherehe ya mazishi katika eneo la Kitutu Chache Kaskazini iligeuka vurugu baada ya Wabunge wawili, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache Kaskazini) na Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini), kushikana kwa mapigano wakizozana kuhusu Rais William Ruto.

Vurugu zilianza baada ya Mheshimiwa Kibagendi kumshambulia Rais Ruto kwa maneno makali, akimtuhumu kwa kuwadanganya Wakenya kwa ahadi hewa na kushindwa kuleta maendeleo yenye maana.

“Tulidanganywa kama jamii na taifa kwa kumpigia kura rais ambaye ni muongo, rais ambaye ameivuruga elimu yetu…,” alisema Kibagendi kabla ya hotuba yake kukatizwa na Nyakundi, ambaye ni muunga mkono mkubwa wa Rais Ruto na serikali ya Kenya Kwanza.
===============
A burial ceremony in Kitutu Chache North descended into chaos after two Members of Parliament, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache North) and Anthony Kibagendi (Kitutu Chache South), engaged in a physical confrontation over President William Ruto.

The drama unfolded when Hon. Kibagendi sharply criticized President Ruto, accusing him of deceiving Kenyans with unfulfilled promises and failing to deliver meaningful development.

“We were hoodwinked as a community and as a nation to elect a president who is a liar, a president who has messed up our education…,” Kibagendi declared before his remarks were cut short by Nyakundi, a staunch supporter of President Ruto and the Kenya Kwanza administration.
 
Back
Top Bottom