Vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA

Wafuasi wa NASA wenye akili timamu natumai wako makini sana, huyu baba yao na maandamano yake ya kila uchao haina faida yeyote kwa Kenya. Kesho yake wataandamana, kisa tu chang'aa imepanda bei.
 
Uhuru ukipitiliza hii ndio shida yake,ndio maana serikali kuna kipindi inabidi iwe na ukali ili kupunguza vitu kama hivyo,kwa mtazamo wangu kuna kila dalili kuwa Kenya itaingia kwenye mapigano.
 
atakae lianzisha atafufua ya nyuma..kushitakiwa

Fatou Bom Bensouda
sizani kama itatokea... kitu kimoja kilicho tokea wakati wa zile kesi za kina uhuru, ni kuwa mambo ya wakenya yatatatuliwa na kwa kuzingatia katiba na sheria za wakenya... hivyo kenda nje kushitakiwa ni uvunjaji wa katiba ya wakenya...

hiki kipengere ndio kizingiti kikubwa cha huko ICC... kwa wakati huu labda wakati mwingine...
 
Kilichowaokoa ni mashahidi kukwepa kwenda kutoa ushahidi....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…