Vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA

Waache watengeneze vilema wapya, wajane wapya, yatima wapya, wavunje magari na nyumba bila kusahau majeruhi hiyo ndio democracy, my foot police piga hao.
wewe mtanzania? sio? haya wakenya wakifanya maandamano inakuhusu vipi?
 
Mbona hamkuwatafuta na kuwakamata waliotekeleza unyama wa 2007 PEV?, wote mliungana kuwatetea UHURUTO na kusahau jukumu kubwa la kuwatafuta wahusika, sababu kubwa ni kwamba waliouliwa ni watu toka daraja la chini na wauaji ni kutoka daraja la matajiri na wanasiasa.

Damu ya watu wanyonge ilimwagika na hakuna lolote lilifanyika kuwatafuta na kuwahukumu wahusika zaidi ya kuwakingia kifua washukiwa wakuu, tulitegemea mngesema hawa hawahusiki wanaohusika ni wale pale, la kushangaza mkavuruga ushahidi ili wahusika wakuu wasihukumiwe.

Kenya mlishamwaga damu za wanyonge, mlishaonja nyama nyama ya binadamu, hamuwezi kubaki salama, vilio vya wajane na mayatima, vilio vya walemavu waliotokana na PEV 2007, haviwezi kuwaacha bila kuwarudia, kitendo cha kuwatetea wahusika tena kwa kutumia gharama za serikali, bila kutumia gharama za serikali kuwatafuta wahusika na kuwapeleka mbele ya sheria, lazima Mungu atawaadhibu, na mnastahili hiyo adhabu hapa hapa duniani.
Raila ni sifuri kabisa
 
Unaifahamu "ban"? Usipoedit huu utumbo, utashughulikiwa.
Aisee huyu cyo bani tuu hata kumtafuta pia maana anatuhusisha cc sote kwa upungufu wa malezi bora aliyokosa kwa wazazi wake huu ni ujinga wa hali ya juu kuweza kutamka maneno mazito kama hayo utashuhulikiwa son.
 
Upinzani Kenya safi na Raila yuko vizuri sana, hapo hakuna kurudi nyuma meli ndy imeshotoa nanga hadi kieleweke.

Nilimskia Musalia Mudavadi BBC jana ametulia anazungumza kwa busara na hekima kubwa, yote wanayoyapigania ni mazuri kwa Wakenya.
Wako vizuri vipi ikiwa wanasisitiza kuwaondoa maafisa wa IEBC kwa njia isiyo taratibu na isiyo ya kikatiba? Huu ni ujinga na unafiki mkubwa sana wa hawa jamaa.
 
Wako vizuri vipi ikiwa wanasisitiza kuwaondoa maafisa wa IEBC kwa njia isiyo taratibu na isiyo ya kikatiba? Huu ni ujinga na unafiki mkubwa sana wa hawa jamaa.
Wataingiaje kwa uchaguzi na tume ileile ilovuruga uchaguzi uliopita kwa mujibu wa mahakama.
Wanapigania tume huru.
 
Trust me, hawa jamaa watafanya uchaguzi mwaka mzima.
 

Raila anajua hawezi kushinda kura through the ballot box ndiyo maana anatafuta njia ya mkato ya nusu mkate yaani serikali ya mseto kama 2007 alipofanya hivo na raia wengi wakafa. Lakini Serikali ishajua kwa hiyo this time amekula ya chuya!!!! Washamgundua kwani anachonganisha makabila kama wakati ule ila Wakenya wameshamjua as a result wanaokufa ni kwenye ngome zake mbili Kibra na Nyanza kwake nyumbani, sehemu nyingine zote ni shwari na kura kwa uhakika ni. 26/10/2017, hana janja tena. Nyongeza ya haya, Baba anaandamana kutaka Waluhya wawili (Chiloba na Chebukati) na Wasomali wawili (Prof Guliye na mama mmoja) kwenye tume ya uchaguzi, IEBC wafukuzwe kazi, wakati huohuo Raila analinda wa kabila lake ndiyo maana Luhya na Somali wanamuunga mkono kwa wingi Uhuru wa Jubilee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…