MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
- Thread starter
- #41
Mwambie mkuu, anachanganya mambo ya arusha na kenyahapo si kenya.
Tafadhali jishugulishe na mambo ya kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mkuu, anachanganya mambo ya arusha na kenyahapo si kenya.
Tafadhali jishugulishe na mambo ya kwenu
wewe mtanzania? sio? haya wakenya wakifanya maandamano inakuhusu vipi?Waache watengeneze vilema wapya, wajane wapya, yatima wapya, wavunje magari na nyumba bila kusahau majeruhi hiyo ndio democracy, my foot police piga hao.
Mbona hamkuwatafuta na kuwakamata waliotekeleza unyama wa 2007 PEV?, wote mliungana kuwatetea UHURUTO na kusahau jukumu kubwa la kuwatafuta wahusika, sababu kubwa ni kwamba waliouliwa ni watu toka daraja la chini na wauaji ni kutoka daraja la matajiri na wanasiasa.sizani kama itatokea... kitu kimoja kilicho tokea wakati wa zile kesi za kina uhuru, ni kuwa mambo ya wakenya yatatatuliwa na kwa kuzingatia katiba na sheria za wakenya... hivyo kenda nje kushitakiwa ni uvunjaji wa katiba ya wakenya...
hiki kipengere ndio kizingiti kikubwa cha huko ICC... kwa wakati huu labda wakati mwingine...
Raila ni sifuri kabisa
Maiti ni BibiakoWatanzania ni maiti mkuu, wanapelekeshwa kama misukule ya ulanga huo ni upuuzi wa karne.
Aisee huyu cyo bani tuu hata kumtafuta pia maana anatuhusisha cc sote kwa upungufu wa malezi bora aliyokosa kwa wazazi wake huu ni ujinga wa hali ya juu kuweza kutamka maneno mazito kama hayo utashuhulikiwa son.Unaifahamu "ban"? Usipoedit huu utumbo, utashughulikiwa.
Hopelessatakae lianzisha atafufua ya nyuma..kushitakiwa
![]()
Fatou Bom Bensouda
Huu upumbavu ndio watu wanauita democracy, Asante Tanzania kwa kunyoosha watu wanayo discipline huwezi kukuta huu upuuzi.
Tanzania ni nchi ya pili Africa kwa watu waoga.Raila sio mstarabu,hawa wapinzani ukiwachekea sana wanataka kukupanda kwa kichwa. Uhuru ustaharabu utamponza.
Hata tungekuwa wakwanza bora tuTanzania ni nchi ya pili Africa kwa watu waoga.
Woga ndio ulimpnza Maalim Seif kinyang'anywa ushindi wake.Hata tungekuwa wakwanza bora tu
Alinyang'anywa nanani?Woga ndio ulimpnza Maalim Seif kinyang'anywa ushindi wake.
Wako vizuri vipi ikiwa wanasisitiza kuwaondoa maafisa wa IEBC kwa njia isiyo taratibu na isiyo ya kikatiba? Huu ni ujinga na unafiki mkubwa sana wa hawa jamaa.Upinzani Kenya safi na Raila yuko vizuri sana, hapo hakuna kurudi nyuma meli ndy imeshotoa nanga hadi kieleweke.
Nilimskia Musalia Mudavadi BBC jana ametulia anazungumza kwa busara na hekima kubwa, yote wanayoyapigania ni mazuri kwa Wakenya.
Punguza hasira, ukweli unaumaMaiti ni Bibiako
Wataingiaje kwa uchaguzi na tume ileile ilovuruga uchaguzi uliopita kwa mujibu wa mahakama.Wako vizuri vipi ikiwa wanasisitiza kuwaondoa maafisa wa IEBC kwa njia isiyo taratibu na isiyo ya kikatiba? Huu ni ujinga na unafiki mkubwa sana wa hawa jamaa.
Huu ni ukweli ambao inabidi watanzania tuukubali tu maana hakuna namnaTanzania ni nchi ya pili Africa kwa watu waoga.
sasa kama alinyang'anywa sisi tufanyaje?Woga ndio ulimpnza Maalim Seif kinyang'anywa ushindi wake.
Polisi wa Kenya ni anti raia kuliko Askari wetu!
Mkuu kama ni hivyo si wataharibu uchumi waoTrust me, hawa jamaa watafanya uchaguzi mwaka mzima.
Wakuu kuna vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA yanayoendelea nchini Kenya na kuonyeshwa live na citizen tv ya Kenya, maandamano hayo yanashinikiza kujiuzulu kwa tume ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya (IEBC)
Updates
-Wakuu mabomu yamelipuliwa
-watu kadhaa wamekamatwa