Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
View: https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe
Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa.
Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake.
Hata huko nyuma, amekuwa akitembelea Tanzania mara kwa mara. Lakini safari hii, kaikuta Tanzania iliyo tofauti kabisa kiasi cha kukiri kuwa, MAMBO HAYAKO SAWA!
Amejaribu kushangaa kuwa ktk uchaguzi huru, wazi na wa haki kimahesabu haiwezekani mgombea mmoja ashinde uchaguzi huo kwa 98%!
Hitimisho la makala yake hii ya uchambuzi ni moja tu. Kwamba, Tanzania hii iliyokuwa kimbilio la wanaogombana wakiwemo wao wa - South Africa kupata msaada na hifadhi imepotolea wapi?
Swali likawa: Is Tanzania a Democratic or Tyranny state now?
Kama una MB za kutosha, mtazame na msikilize vizuri ktk video hii.