Ni muda mrefu sasa sijamsikia huyu mzee VUTA-NKUVUTE jamani yuko wapi? Au na yeye ameamua kujiuzulu kuandika habari humu ili kumuunga mkono Rais. Maana kumekuwa na wimbi la watu kuachia nafasi zao kws kigezo cha kumuunga mkono Rais!
Mzee uko wapi? Au na yeye ni miongoni mwa watu wsliopotezwa/waliookotwa ufukweni?
Labda nae amekwishahamishia ofisi zake IDODOMYA, kuunga juhudi (harakati) za Mukulu, kuhamishia wana FAMILIA wote (kama itawezekana) kwa "MATONYA"..[emoji23]