VUTA PUMZI: My Regrets....

Alafu nna wiki saivi nataka nivumilie mpaka mwakani kama mwenyezi Mungu atanipa uzima, sijilipui , simkazi mtu na Pombe sinywi, NATAKA NIONE NTASAVE ENERGY NA HELA KIASI GANI….MUNGU ANIONGOZE KWAKWELI
Kila la kheri mkuu
 
NAMBA NNE:

Kwa hasira niliondoka nikamuacha amelala chini, sikua najali kilio chake, kuna namna tu ilitokea nilikua naona ni sawa kumfanyia yule binti ukatili. Nilikua nimeanza kunywa pombe, Bahati hakua anaipenda hiyo tabia na mara kwa mara tulikua tunagombana nikilewa. Nilienda kunywa na nikalala huko hadi asubuhi. Tulikua tumepanga wote maeneo ya shekilango kutokana na uhaba wa hostel kwa kipindi kile.

Nilipigiwa simu saa nne asubuhi nikiwa nimelala gesti na mwanamke mwingine ambaye alikua anafanya kazi bar, yule mwanamke alikua ananijulia kwelikweli, kuna namna tulikua tukisex matamanio yetu yanakutana, kila nilichokua natamani kukifanya kwenye ngono kama majaribio yule binti alikua radhi nimfanyie. Kuna namna wanawake hua wananishangazaga, wakishakupenda wanakua too submissive katika namna wanasahau hata athari za hayo wanayoyafanya kiafya.

Unaweza ona ni jinsi gani Bahati akawa anapoteza umaarufu kwangu, maana alikuwepo mwenzie ambaye alikua anatoa zaidi ya inavyotakiwa katika sex ya kawaida, nadhani nimeeleweka, nisije kukwaza wengine zaidi. Ile simu ilinieleza kua Bahati alikua amelazwa hospitalini ,mimba ilitoka. Ni kweli nilikua nampiga tumboni ili mimba itoke, lakini baada ya ulevi kuniisha na kupatiwa Ile taarifa kuna namna nilianza kujihisi maumivu yake, niliingia maliwato nikalia sana. Nilijihoji nimeanza lini ukatili hadi kuua kiumbe kilicho tumboni ambacho hakina hatia, nilikua najiuliza nimekuaje lakini sipati majibu.

Nilioga harakaharaka na kuwahi hospitali, nilimkuta mwanamke wangu mzuri amelala usingizi, walikua wameshamsafisha na amepewa mapumziko ,nilimuangalia yule binti mrembo aliyelala pale kitandani akiwa amebeba maumivu mengi niliyoyasababisha. Mashavuni alikua na alama ya machozi yaliyokauka , nafsi yangu iliniuma sana, nilishindwa kukaa pale na kuendelea kumuangalia anavyoumia nikatoka nje. Daktari aliniita ofisini kwake akanipa maneno ya kiume sana, akanambia huyu binti anakupenda mnoo, najua umehusika na haya yaliyompata lakini amegoma kukuhusisha, pamoja na maumivu yote uliyompatia lakini bado anakulinda. Daktari alinambia kama naona simuhitaji nimwambie ukweli kuliko kutumia vipigo, niliinama na kushindwa kuongea chochote. Hadi sasa sikuelewa yule mwanamke kwanini alinipenda vile, kwanini alikataa kusema kua nilimpiga, tena nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi, nilijiahidi kumuonesha upendo punde atakapoamka toka kitandani kama bado atakua ananihitaji maana nilikua naogopa hata kumuangalia usoni.

Baada ya siku mbili Bahati alitoka hospitali, nilipambana kumuonesha kua nimetubu na najutia. Yule mwanamke alikua malaika jamani, huwezi amini Bahati alinisamehe. Maisha yalisonga, nilipambana kufanya mishe za hapa na pale wakati tunasubiri matokeo. Bahati alirudi kwao kwa maagizo maalumu ya mzee wake, mimi niliamua kukomaa hapa mjini na kufanya biashara ya mazao. Biashara ilikua na kwa namna fulani ilinifanya niwe bize. Mawasiliano yangu na Bahati yaliendelea japo kwa kusuaasua.

Nilikuja kupata kazi na huku niliendelea kufanya biashara, Bahati nae alipata ajira lakini mkoani wakati mimi nilipata hapahapa jijini. Kilipita kitambo kidogo, nikawa na mahusiano mengine , sikua na mawasiliano na Bahati kwahiyo sikua nafahamu anaendeleaje. Kuna wakati nilitakiwa kwenda mkoa fulani kwa ajili ya semina, nilifika huko mkoani salama, asubuhi na mapema wakati najiandaa kuingia kwenye semina nikasikia naitwa jina langu, nikiwa katika mshangao mbele yangu alisimama Bahati. Alikua amependeza na kunawiri, Bahati alikua ameongezeka uzuri mara mbili, Bahati alikua katika ubora uliotukuka.

Nikiwa Kama mwanaume mwenye tamaa nilishindwa kuvumilia, nilikua naomba Ile siku iishe ili niweze kupata wasaa wa kukaa mahala na yule mrembo. Jioni nilipata wasaa wa kukaa na Bahati, tulikutana mahala tukapata vinywaji, kilichomshangaza ni namna yule mrembo alikua anapiga maji tena vile vikali. Bahati alikua kabadilika sana, sio Bahati binti mpole , mwenye stara niliyemfahamu na kumuendesha kwa miaka takribani minne.

Baada ya kupiga vyombo tukahamia room kwake alipofikia, nikiwa huko ndipo akanieleza kua alifanya namna mimi niwe mmoja wa watakaohudhuria ile semina, kwahiyo alinitarajia, na si hayo tu, alifanya namna nikapata ajira. Alinambia kua mzee wake anajuana na watu wengi sana, kwahiyo ilikua ni suala la simu kadhaa, alikua anajua taarifa zangu muhimu kwahiyo haikua shida kumpatia mzee wake akafanya namna nikapata ajira.

Nikawaza ni kwanini amekua mwema sana kwangu, kwanini amenionesha wema hata baada ya kumuonesha upande wangu wa pili, alichonijibu ni kua ananipenda sana, aliniahidi kua hatokuja kuguswa na mwanaume mwingine, bado anaishi na hiyo ahadi. Amepambana sana kunisahau ameshindwa, alikua tayari kua mke wa pembeni maana dini yangu hairuhusu wake wawili lakini hayuko tayari kuachana na mimi.

Kwa sasa naweza sema ni kutokua na msimamo tu, ila kwa wakati ule nilikua naweka matamanio yangu mbele ya hisia za wengine. Niliwaza tu nafasi nitakazozipata kama nitakua na Bahati, wakati huohuo nikawaza namna tu Bahati ananifanya nimkinai, uamuzi nilioufikia ni kwamba nitakua naye lakini atendelea kusalia mkoani ,nami nitabaki dar, labda umbali kati yetu utafanya mahusiano yadumu.

Ile siku ilipigwa mechi moja takatifu sana, Bahati alikua amebadilika katika mambo mengi, sio tu urembo bali hata kitandani, sijui ile kummiss au ni yeye kukaa kitambo bila kutumika, yule mdada alikua na utofauti sana, kama aliamua kutafuta kungwi, basi kungwi apewe mauwa yake. Kama mwanaume nilibaki njia panda, sikua naelewa nibaki na yupi kati ya Bahati na yule niliyekua naishi naye kwa kipindi kile.
 
Alafu nna wiki saivi nataka nivumilie mpaka mwakani kama mwenyezi Mungu atanipa uzima, sijilipui , simkazi mtu na Pombe sinywi, NATAKA NIONE NTASAVE ENERGY NA HELA KIASI GANI….MUNGU ANIONGOZE KWAKWELI
Amina kaka....
 
NAMBA TANO:

Baada ya mwaka tangu tuonane na Bahati mkoani kwenye semina na kurudisha penzi kwa kasi, alinambia kua mzee wake anahitaji aolewe, kuna mwanaume kama familia wanahitaji aolewe naye...si unajua pesa inaendaga kwa pesa mwenzie, sikua nampenda Bahati kihivyooo, lakini hazikua taarifa njema kwangu, Ni kama nilishajihesabia kua yule mwanamke ni fungu langu, nammiliki, anaendaje kuolewa na mwanaume mwingine. Bahati akanambia hahitaji kuolewa na huyo mwanaume, akaomba hata kama sijapanga kuoa kwa sasa basi nimuokoe kwa kwenda kujitambulisha nyumbani na kutoa posa ili kuzuia yule mwanaume mwingine asimudu kumpata.

Nilibeba watu wangu muhimu tukaenda Sumbawanga kutoa mahari ya Bahati. Nilipata ugumu kiasi chake, lakini kwa msisitizo wa Bahati kua akilazimishwa kuolewa na huyo jamaa atajiua ,ilibidi wakubali posa. Mzee alitoa sharti la kwamba ndoa ifungwe ndani ya huo mwaka, hahitaji posa za kukaa miaka mitatu, kimasikhara nikajikuta nimeingia kwenye mtego wa Bahati.

Ilifungwa ndoa ya kifahari, ambacho sikukifahamu ni kua nilichezewa rough ya hatari sana, ndani ya mda mfupi Bahati alikua mke wangu tena wa kupika na kupakua maana mzee wake alifanya namna mwanae akahamia dar. Hadi wakati huo sikua nimeachana na yule mwanamke wangu ambaye nilikua naishi naye baada ya kuachana na Bahati, kwahiyo ni kama nilikua na wanawake wawili, mmoja mke wa ndoa takatifu na mwingine mchepuko wa kudumu.

Maisha ya ndoa mwanzoni hayakua mabaya, Bahati huyu alikua amejiupdate sana, alipambana sana kunifurahisha, tulikua poa lakini kuna namna nilikua namiss yale mambo yangu. Yule mwanamke wa nje alikua ananipa kila nachohitaji kingono, sikua na ujasiri kumwambia Bahati kua nahitaji kupita mlango wa nyuma, hakua mwanamke wa hivyo, nami sikuona haja ya kumlazimisha vitu ambavyo najua nitamkwaza. Kwahiyo nikawa natafuta excuses za kuchelewa kurudi ili nikate kiu yangu ya kupita nyuma.

Bahati alipata ujauzito kwahiyo hata kunihudumia kimapenzi alikua hamudu, naweza sema nilikua sex addict. Siwezi kumaliza siku mbili sijafanya sex, nilikua siwezi. Hata kipindi niko nasafiri kibiashara si kwamba nilikua mtulivu hapana, nilikua natafuta mwanamke nagonga ,namalizana naye. Mikoani kupata mwanamke ni dakika sifuri tu tofauti na dar ambapo unatongoza mwanamke asubuhi ,jioni kaishiwa kodi, usipotuma pesa ya kodi hupati mbususu. Mikoani unaweza enda kusanya mzigo ukapata pa kufikia, ukapewa huduma zote kama mume hadi siku unaondoka, wanawake wa mikoani wanajua kukarimu wageni, nadhani ndio sababu rate ya magonjwa ya kuambukzia ipo kubwa sana mikoani hasa mikoa yenye muingiliano mkubwa wa watu.

Maugomvi yalianza ndani, ratiba ya kuchelewa kurudi ilizidi viwango kiasi cha kumkera Bahati. Nilianza kama masikhara ila yakaja kua mazoea, natoka kazini napita kwa mchepuko, napewa dozi kisha narudi nyumbani usiku sana. Bahati alikua anaongeaaa we ,mwishowe anaishiaa kulia . Akijaribu kunihudumia ni mara moja kwa wiki mbili, tena nimebembeleza sana,sijui nilipatwa na ugonjwa wa aina gani, niliwahi washa gari usiku wa saa nane kwenda kuufata mchepuko, kwa hiyo haikua tena starehe ya kuruka ukuta bali ilikua sex in general ambayo kwa mke sikua naipata.

Nilijitahidi kua mstaarabu, nacheat lakini natafuta excuses za wapi nilikua, sikutaka kumpa stress za kuzidi na hali yake ya ujauzito. Nilishajifunza kwa makosa ya ujauzito wa mwanzo. Mke alikuja kujifungua kwa operation, ilibakia kidogo aniachie kichanga maana alipandwa na presha mbaya usiku wa saa nane baada ya kunifuma nikiongea na simu chooni.

Tulisonga na Bahati wangu katika hali ya kusuasua hadi mtoto alipofikisha miaka minne, sikua najificha tena, naweza kaa hata siku mbili sijarudi nyumbani, simu sifichi, zikipigwa naongea hata kama yupo. Bahati alishafuma text kibao na videos zikionesha jinsi tunasex na mchepuko tena nikiwa nimemkunja kisawasawa na huku napita mlango wa nyuma. Aliamua kujitumia izo videos kwa ushahidi.

Kuna siku nilirudi kazini nikamkuta mke wangu kavaa lingerie kanoga, alijipaka makeup akapendeza, 'she looked hot like porn star'....nilikua na mshangao, akanikaribisha ndani, mtoto hakuwepo , the house was cool, hakuna sauti nasikia hata mbu ile siku walienda likizo, the house smelled good, aliandaa my favorite dish, yule mwanamke aliamua kunisurprise ile siku. Tulikula , tukaingia chumbani ambapo alikua amepaandaa sana, aliweka roses all over the room and bed, akanipeleka bafuni kuoga. The bath was hot and smelled good, everything was perfect, baada ya kuniosha alinipa blow job moja matata sana.

Karembo kangu kalishika sinki na kunisusia, nilijua anataka doggie, ila niliona sio vibaya nikampa starehe mwanamke aliyeamua kunipenda kwa hali na mali, nilipiga magoti na kuzama kwa private parts zake, hua namfanyiaga hivyo mara kwa mara ila kwa ile siku niliamua nimfanyie kitu tofauti kinachoendana na juhudi alizozionesha tangu nimetoka kazini. Nilibugia pale mahala nakuhakikisha kote kamezama mdomoni mwangu, wife alipiga yowe moja la raha akawa akama amekakamaa, niliona anazidi kushuka chini nikaamua kumshika shemu zake za nyuma ili kumpa stamina.

Nilimnyonya kwa fujo sana, niliamua ile siku kumpa show ya mchepuko, nilimkaba na kumvuta nywele zake nzuri kwa nguvu huku nikiwa namsugua maeneo muhimu. Kale karembo kama kalianza kuweweseka, nilikapa show bila ya kukaonea huruma ,kilikua kipondo cha nguvu kiasi ambacho nilimuona anaishiwa nguvu, nilimfungulia shower ili apate nguvu wakati nikiendelea kukamua. Baada ya nusu saa alinikumbatia kwa nguvu akanambia Piiiiii am coming, you know what I just said....come baby gal....just come ma...

Tulipumzika na kubaki tunaangaliana Kama wahalifu, we just hugged each other like kids, kwa muda nilijutia yote niliyomfanyia, nilijiahidi kubadilika, ila kuna mambo ukishayaanza ngumu kuacha, i was arleady addicted na michezo michafu, porn ilikua imechukua akili yangu kwa kiasi cha kutisha .
 
NAMBA SITA:

Tukiwa tumelala akanambia kua ameona videos kwa simu yangu, nilianza kupanick, akanambia relax, nilishalia nilishaumia , kulia hakunisaidii tena, akanambia ananiruhusu nimfanyie hivyo ili niachane na huyo mwanamke. Nilikua njia panda, anamaanisha au ananitega, nilibaki kimya namuangalia, akanyanyuka akaenda kwenye dressing table , sikupata mda wa kuchunguza vitu mle chumbani wakati naingia, muda haikuniruhusu kabisa, wife alikuja na mafuta ya kufanyia ile shughuli.

Nilipoyaona yale mafuta ni kama wazimu ulinipanda,nikamuuliza una hakika na unachokitaka, akanambia am sure... Just go on...,nilimimina whiskey kwa glass tukaanza kupombeka, hua napata hayo matamanio nikiwa katika ulevi. Tulilewa sana, tulifanya maandalizi yote na kisha nikamuingilia mke wangu mpendwa, nilimuona akiwa amekunja uso kwa maumivu, yale maumivu yalizidi nguvu ya whiskey kichwani, ndio maana nasema kua napambana kujisamehe, sio kitu rahisi kumsababishia maumivu kwa kiasi kile sababu ya starehe zako, mwanamke wako, mama wa wanao...I was more than a monster...

Zoezi liliendelea kwa zaidi ya nusu saa hadi nilipomudu kumaliza, mke wangu hakumudu hata kunyanyuka kitandani, nilimbeba na kwenda kumuogesha. Nilikua nimemkumbatia kwa upendo mda wote alikua analia. Kwa zaidi ya miezi kama miwili nilijitahidi kutulia nyumbani, natoka kazini narudi nyumbani. Kama ni kunywa nakunywa nyumbani na wife.

Sijui ni pepo au ni kitu gani, lakini sikua katika hali ya kuridhika na mwanamke mmoja, wife alinifuma tena nikichart na mwanamke mwingine, kuna mwanamke nilikua nimeanzisha nae mahusiano alikua ananipeleka puta hatari. Mnaosema kua nyama ni ileile mimi nakataa, hawa viumbe wanatofautiana sana.

Yule dada alikua mmakonde, kuna namna alikua akimuandaa bwana mkubwa unaweza taja majina ya ukoo wenu yote.Yule dada alikua na kiuno sio cha dunia hii, mtu mzima nilikua nalia kama mtoto mdogo, taratibu nikaanza kuchelewa tena kurudi nyumbani, tena narudi usiku wa manane namkuta wife sebuleni amekaa ananisubiria mkononi ameshika biblia. Nilikua najisikia vibaya lakini pombe kitu cha ajabu sana, inakupa ujasiri wa kuona kua mda wote upo sahihi.

Ile siku tuligombana sana, yule mwanamke alivua nguo tukiwa sebuleni akanambia njoo ufanye kinachokupeleka huko nje, sikutaka kumchelewesha, nilipaka mate tu na kumuingilia kinyama, mke wangu alikua analia kama mtoto mdogo, sijui nilikuwaje lakini ni picha ambayo haitokaa initoke, kile kilio ni kama kilikua kinanihamasisha kuendelea kumtumia, bila ya kujua ,kile kilio kiliamuamsha mwanangu usingizini, namaliza kufanya ufirauni wangu nageuka nakuta binti yangu wa miaka mitano kwa kipindi hiko ananiangalia katika mshangao.

Sidhani kama ile picha itakuja kufutika, sina hakika, sijamudu kumuangalia mwanangu usoni kwa miaka mimgi sana, ili nisiendelee kuumia niliamua kumpeleka boarding. Ile siku Bahati alilala palepale sebuleni, niliamka asubuhi sikutaka kuongea na yeyote nikaondoka na kuelekea kazini. Nilimaliza wiki nzima kwa mmakonde sikumudu kumuangalia tena mke wangu usoni.

Baada ya miezi mitatu ya kupishana na kushindwa kusameheana, mke wangu aliamua kuyakatisha maisha yake kwa kunywa sumu. Nilikua kwa mmakonde wakati hayo yanatokea, nilipigiwa simu na jirani kua nahitajika hospitali hali ya mke wangu ni mbaya sana. Binti wa kazi niimuondoa kwa kosa la kulala kupitiliza na kushindwa kumdhibiti mtoto hadi akashuhudua tukio la sebuleni. Najua hakustahili adhabu yoyote ila kwa namna fulani nilijiona sahihi kuadhibu wengine kwa makosa yangu.

Nilipata misukosuko sana na kuwekwa ndani, familia ya mke wangu walishinikiza kua nitakua nimemuua mtoto wao, kumbuka ni watu wenye pesa sana, nilikaa rumande bila ya kesi yangu kusikilizwa kwa zaidi ya mwaka mzima. Nilipambana kuweka wakili lakini kila ninapopelekwa mahakamani naambiwa kua ushahidi haujakamilika narudishwa rumande. Nilikua najua kua naonewa lakini kila nikikumbuka maumivu niliyompatia Bahati najikuta nashindwa hata kujisamehe.

Baada ya mwaka mzima wa kukaa rumande hatimaye kesi ikaanza kusikilizwa na kusomewa shitaka la kuua kwa kutumia sumu. Kuna jirani alipewa hela akakubali kutoa ushahidi kua aliniona siku ambayo mke wangu alidaiwa kunywa sumu nikitoka nyumbani kwangu kwa haraka sana, na zaidi aliongeza kua alisikia malumbano kutokea ndani kwangu nusu saa kabla sijatoka nikiwa na haraka. Na zaidi akaongeza kua nilikua na kawaida ya kumpiga na kutolala nyumbani mara kwa mara.

Kwa kutumia wakili wangu na kukosekana kwa mashahidi zaidi, na kujichanganya kwa yule shahidi kila anapobanwa kwa maswali mahakamani, hatimaye nilifanikiwa kutoka baada ya kufanikiwa kuthibitisha kua sikua nimefika nyumbani kwa zaidi ya wiki mbili, na kua ni kweli tulikua na maugomvi lakini sikua na uthubutu wa kumdhuru mke wangu. Pia ripoti ya daktari ilithibitisha kua marehemu hakua na majeraha yoyote mwilini, kwahiyo hoja ya kua nilimpiga siku ya tukio hadi kupelekea kifo chake, na kisha kumnywesha sumu ili ionekane kua alijiua mwenyewe kwa sumu ikawa dhaifu.

Hakuna mtumishi wa serikali ambaye ataendelea kuhudumu baada ya kutoka rumande, ingawa nilishinda
kesi, baba mkwe hakuniacha nipumue, alifanya namna ya kuchochea zaidi kwa yale makosa yangu na ukijumlisha tuhuma za kukaa rumande, nikafukuzwa kazi rasmi, mtoto walininyang'anya na sina hakika kama nitakuja kumuona tena.

Nina zaidi ya miaka mitano sasa, hakuna siku ambayo sijawahi kujuta, kupenda kuiga mambo ya kizungu kuliniletea addiction mbaya sana, kulipelekea kumtesa mwanamke wa ujana wangu kiasi cha kusababisha akawa mlevi wa vilevi vikali, kumtumia ndivyo sivyo na hata mauti, leo hii sina mke, mtoto wala kazi. Ni kama naanza upya, nimerudia biashara yangu ya kuuza mazao, napambana kutafuta kwa jasho, najiadhibu kila leo kwa kufanya kazi ngumu, hakuna siku inapita sijamkumbuka Bahati wangu .Nisamehe mama, naomba unisamehe nami nimudu kujisamehe.

Till Next time....

Nana!
 

Yan hiki kipande cha mwisho kimeniudhi, kama hii ni story ya kweli hakika ulikua na roho ya kikatili naungana na bahati popote pale alipo kukulaani
 
Yan hiki kipande cha mwisho kimeniudhi, kama hii ni story ya kweli hakika ulikua na roho ya kikatili naungana na bahati popote pale alipo kukulaani
Ametangulia kusema kua anajua mtakwazika, mengine nimeyafupisha sana hayaendani naaudhui ya jf, ila jamaa alikua anapractice kila kitu unachokiona kwa porn movies...hadi threesome, kwahiyo anahitaji amani ya moyo wake, amejifunza the hard way....let's just focus on the new him...na ndio maana amesema hakuna namna atabadilisha njano kua buluu...anajua kua amezingua big time
 
Mmhhh!!! Hatari
 
Wote hatuujui mwisho wetu ila kama hii story ina ukweli huyo jamaa hata akipigwa na moto wa gesi mi naona sawa tu, we ni shetani, acha nipate dhambi ya kuhukumu tu.
 
Daah😢....ulikosea sana....hiyo kitu itakutafuna sana, ni ngumu mno kupata amani.

ila leo nimeamini "When a women loves she loves for real, after u break her heart about thousand times, but still she gave you her soul".
 
Wote hatuujui mwisho wetu ila kama hii story ina ukweli huyo jamaa hata akipigwa na moto wa gesi mi naona sawa tu, we ni shetani, acha nipate dhambi ya kuhukumu tu.
Wakati naongea nae alikua analia sana, jamaa anajuta....I hope he will someday find peace...
 
Daah[emoji22]....ulikosea sana....hiyo kitu itakutafuna sana, ni ngumu mno kupata amani.

ila leo nimeamini "When a women loves she loves for real, after u break her heart about thousand times, but still she gave you her soul".
Yaaap.... tunapendaga tunapitiliza
 
Huyu jamaa anahitaji sn mtu wa saikolojia,pumzika kwa amani Bahati[emoji174][emoji22]
 
Kama ni story ya kweli mkuu pole sana,mwombe Mungu msamaha then achana kabisa na mambo kama pombe,pono na mengine yalokupelekea kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…