NAMBA SITA:
Tukiwa tumelala akanambia kua ameona videos kwa simu yangu, nilianza kupanick, akanambia relax, nilishalia nilishaumia , kulia hakunisaidii tena, akanambia ananiruhusu nimfanyie hivyo ili niachane na huyo mwanamke. Nilikua njia panda, anamaanisha au ananitega, nilibaki kimya namuangalia, akanyanyuka akaenda kwenye dressing table , sikupata mda wa kuchunguza vitu mle chumbani wakati naingia, muda haikuniruhusu kabisa, wife alikuja na mafuta ya kufanyia ile shughuli.
Nilipoyaona yale mafuta ni kama wazimu ulinipanda,nikamuuliza una hakika na unachokitaka, akanambia am sure... Just go on...,nilimimina whiskey kwa glass tukaanza kupombeka, hua napata hayo matamanio nikiwa katika ulevi. Tulilewa sana, tulifanya maandalizi yote na kisha nikamuingilia mke wangu mpendwa, nilimuona akiwa amekunja uso kwa maumivu, yale maumivu yalizidi nguvu ya whiskey kichwani, ndio maana nasema kua napambana kujisamehe, sio kitu rahisi kumsababishia maumivu kwa kiasi kile sababu ya starehe zako, mwanamke wako, mama wa wanao...I was more than a monster...
Zoezi liliendelea kwa zaidi ya nusu saa hadi nilipomudu kumaliza, mke wangu hakumudu hata kunyanyuka kitandani, nilimbeba na kwenda kumuogesha. Nilikua nimemkumbatia kwa upendo mda wote alikua analia. Kwa zaidi ya miezi kama miwili nilijitahidi kutulia nyumbani, natoka kazini narudi nyumbani. Kama ni kunywa nakunywa nyumbani na wife.
Sijui ni pepo au ni kitu gani, lakini sikua katika hali ya kuridhika na mwanamke mmoja, wife alinifuma tena nikichart na mwanamke mwingine, kuna mwanamke nilikua nimeanzisha nae mahusiano alikua ananipeleka puta hatari. Mnaosema kua nyama ni ileile mimi nakataa, hawa viumbe wanatofautiana sana.
Yule dada alikua mmakonde, kuna namna alikua akimuandaa bwana mkubwa unaweza taja majina ya ukoo wenu yote.Yule dada alikua na kiuno sio cha dunia hii, mtu mzima nilikua nalia kama mtoto mdogo, taratibu nikaanza kuchelewa tena kurudi nyumbani, tena narudi usiku wa manane namkuta wife sebuleni amekaa ananisubiria mkononi ameshika biblia. Nilikua najisikia vibaya lakini pombe kitu cha ajabu sana, inakupa ujasiri wa kuona kua mda wote upo sahihi.
Ile siku tuligombana sana, yule mwanamke alivua nguo tukiwa sebuleni akanambia njoo ufanye kinachokupeleka huko nje, sikutaka kumchelewesha, nilipaka mate tu na kumuingilia kinyama, mke wangu alikua analia kama mtoto mdogo, sijui nilikuwaje lakini ni picha ambayo haitokaa initoke, kile kilio ni kama kilikua kinanihamasisha kuendelea kumtumia, bila ya kujua ,kile kilio kiliamuamsha mwanangu usingizini, namaliza kufanya ufirauni wangu nageuka nakuta binti yangu wa miaka mitano kwa kipindi hiko ananiangalia katika mshangao.
Sidhani kama ile picha itakuja kufutika, sina hakika, sijamudu kumuangalia mwanangu usoni kwa miaka mimgi sana, ili nisiendelee kuumia niliamua kumpeleka boarding. Ile siku Bahati alilala palepale sebuleni, niliamka asubuhi sikutaka kuongea na yeyote nikaondoka na kuelekea kazini. Nilimaliza wiki nzima kwa mmakonde sikumudu kumuangalia tena mke wangu usoni.
Baada ya miezi mitatu ya kupishana na kushindwa kusameheana, mke wangu aliamua kuyakatisha maisha yake kwa kunywa sumu. Nilikua kwa mmakonde wakati hayo yanatokea, nilipigiwa simu na jirani kua nahitajika hospitali hali ya mke wangu ni mbaya sana. Binti wa kazi niimuondoa kwa kosa la kulala kupitiliza na kushindwa kumdhibiti mtoto hadi akashuhudua tukio la sebuleni. Najua hakustahili adhabu yoyote ila kwa namna fulani nilijiona sahihi kuadhibu wengine kwa makosa yangu.
Nilipata misukosuko sana na kuwekwa ndani, familia ya mke wangu walishinikiza kua nitakua nimemuua mtoto wao, kumbuka ni watu wenye pesa sana, nilikaa rumande bila ya kesi yangu kusikilizwa kwa zaidi ya mwaka mzima. Nilipambana kuweka wakili lakini kila ninapopelekwa mahakamani naambiwa kua ushahidi haujakamilika narudishwa rumande. Nilikua najua kua naonewa lakini kila nikikumbuka maumivu niliyompatia Bahati najikuta nashindwa hata kujisamehe.
Baada ya mwaka mzima wa kukaa rumande hatimaye kesi ikaanza kusikilizwa na kusomewa shitaka la kuua kwa kutumia sumu. Kuna jirani alipewa hela akakubali kutoa ushahidi kua aliniona siku ambayo mke wangu alidaiwa kunywa sumu nikitoka nyumbani kwangu kwa haraka sana, na zaidi aliongeza kua alisikia malumbano kutokea ndani kwangu nusu saa kabla sijatoka nikiwa na haraka. Na zaidi akaongeza kua nilikua na kawaida ya kumpiga na kutolala nyumbani mara kwa mara.
Kwa kutumia wakili wangu na kukosekana kwa mashahidi zaidi, na kujichanganya kwa yule shahidi kila anapobanwa kwa maswali mahakamani, hatimaye nilifanikiwa kutoka baada ya kufanikiwa kuthibitisha kua sikua nimefika nyumbani kwa zaidi ya wiki mbili, na kua ni kweli tulikua na maugomvi lakini sikua na uthubutu wa kumdhuru mke wangu. Pia ripoti ya daktari ilithibitisha kua marehemu hakua na majeraha yoyote mwilini, kwahiyo hoja ya kua nilimpiga siku ya tukio hadi kupelekea kifo chake, na kisha kumnywesha sumu ili ionekane kua alijiua mwenyewe kwa sumu ikawa dhaifu.
Hakuna mtumishi wa serikali ambaye ataendelea kuhudumu baada ya kutoka rumande, ingawa nilishinda
kesi, baba mkwe hakuniacha nipumue, alifanya namna ya kuchochea zaidi kwa yale makosa yangu na ukijumlisha tuhuma za kukaa rumande, nikafukuzwa kazi rasmi, mtoto walininyang'anya na sina hakika kama nitakuja kumuona tena.
Nina zaidi ya miaka mitano sasa, hakuna siku ambayo sijawahi kujuta, kupenda kuiga mambo ya kizungu kuliniletea addiction mbaya sana, kulipelekea kumtesa mwanamke wa ujana wangu kiasi cha kusababisha akawa mlevi wa vilevi vikali, kumtumia ndivyo sivyo na hata mauti, leo hii sina mke, mtoto wala kazi. Ni kama naanza upya, nimerudia biashara yangu ya kuuza mazao, napambana kutafuta kwa jasho, najiadhibu kila leo kwa kufanya kazi ngumu, hakuna siku inapita sijamkumbuka Bahati wangu .Nisamehe mama, naomba unisamehe nami nimudu kujisamehe.
Till Next time....
Nana!