Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Yani wanaboa sana kama hukunkigamboni ni balaaHawa wataua watu wenye presha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wanaboa sana kama hukunkigamboni ni balaaHawa wataua watu wenye presha
Nakubaliana na weweVuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao.
Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani.
Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania?
MuteMkuu mimi huwa ninapoangalia mpira sipendi wale wachambuzi,hata wale watangazaji kina mpenja sijui nan huwa sipendi naona kelele tu,huwa nataman mpira ukianza uchezwe tu maana wachezaji wa timu ninayokuwa nashabikia nawafahamu wote hakuna haja ya kutangaza
Dunia imebdilika. Vitarumbeta vile vya 1988 vilikuwa vinapulizwa pale shamba la bibi ambako ni wazi to kwa hiyo sauti zilikuwa zinsambaa hewani, hali siyo hivyo pale Lupaso kwani kelele zote zinaishia humo humo ndani.Mlioanza kushabikia mpira juzi mna shida,simba na kikundi chao cha ushangiliaji 'kidedea' nilikuta wakipuliza tarumbeta 1988 nilipoanza fuatlia mpira
Dah umenichekesha sana aisee na ukanikumbusha jambo kwenye mechi ya juzi ya Kagera vs Yanga. Ile mechi kuna muda mtalamu wa sauti upande wa Azam tv waliminya sauti za mashabiki, akawa anasikika mtangazaji tu. Basi Yanga walipopata goli la pili aliachia zile kelele kwa muda mwingi wa mchezo nikapata feeling fulani kuwa mechi imechangamka sasa na kasi imeongezeka kumbe ni yake makele ya uwanjani mtazamaji unaweza kuhisi mechi imechangamka au kupooza.Mi zimeniathiri kisaikolojia nikiskia mpira mtangazaji anatangaza namsikia kama taarifa ya habari pamoja na makofi na filimbi ya refa naona hapo hamna kipute! Ila nikiingia nkaskia poooooooh kelele za kutosha mpaka Mzinga simsikii vizuri naona aah hapa leo ndo leo[emoji28][emoji28]