Vuvuzela

Vuvuzela

chloe.obrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2010
Posts
391
Reaction score
21
34108_1348330305186_1139185707_30839070_7506350_n.jpg
 
inaelekea ukishakula na kunywa lazima ujinyonge look at the noose on the left
 
na hiyo kamba ni ya nini hapo mlangoni
 
Mh! mbona siioni au unaipuliza hapo ngoja nitege sikio labda ntaisikia.
 
ni pahali pangu pa business jamani au sitapata wateja? hiyo kamba sio ya kujinyongea ni ukarabati unamalizika tu.

Huuuuuuu,Afadhali umesema tulikuwa na wasiwasi ile mbaya, naomba uiondoe ili siku ya ufunguzi usike ukapata kesi bure
 
Back
Top Bottom