The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hata hao waliompa messi ni chaguo lao , maana uwa hawataji vigezo wanavyotumia kumchagua mchezajiMbappe ni chaguo lako binafsi, unaruhusiwa kumpa tuzo lolote.
Messi sidhani , labda vvd au mbappe , ukitaka kujua hao jamaa wananominate majina ni wahuni , hawataji hata siku moja vigezo vinavyotumika kumchagua mchezajiNaaam.
Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116]
Who is the greatest player of all time?.
Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".
Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.
Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?
Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Ni chaguo lao binafsi lakini ni wengi,professionals na wanazingatia kila kinachostahili kulinda credibility.Hata hao waliompa messi ni chaguo lao , maana uwa hawataji vigezo wanavyotumia kumchagua mchezaji
duh! ni mara chache sana kuona mtu mpuuzi kama wewe.Messi hastaili chochote wamempa tu , hiyo tuzo wangempa mbappe
messi hahitaji vigezo vyovyoteHata hao waliompa messi ni chaguo lao , maana uwa hawataji vigezo wanavyotumia kumchagua mchezaji
Vvd na yondani uchezaji wao ni sawa sawa tofauti yao ni rangi tuuNaaam.
Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116]
Who is the greatest player of all time?.
Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".
Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.
Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?
Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kila mtu ana individual performance, vitaje vigezo vilivyotumika kumchagua ,Mswahili katika ubora wake wa kupinga na kujiona anajuwa kuliko wapiga kura 😂😂😂
Kijana, unaelewa maana ya individual performances? Je, vigezo hivyo anavyo huyo msenegali wako?
Mbona kuna baadhi ya wachezaji na makocha wanalalamika kura zao kwenda kwa Messi ingawa wao hawakumchagua yy ?Ni chaguo lao binafsi lakini ni wengi,professionals na wanazingatia kila kinachostahili kulinda credibility.
Kama majority ya super coaches na wachezaji(international stars) wameona anastahili basi wengi wape.
Wapo wanaoona hastahili(you're one of them) either kwa mtazamo wao au kwa sababu za kiushabiki lakini ni haki yao kuwa na mtazamo tofauti.
All in all mimi ni mmoja ya wanaoona anastahili na kwakuwa amepata hiyo tuzo historia itamkumbuka na records hizitafutika.
Ila namba moja,mbili na tatu wote wanastahili pongezi lakini hapa huwa ni 'the winner gets it all'.
Mengine nadhani uache uvivu uwe una'Google ili upate taarifa kamili za yanayojiri jinsi mshindi wa tuzo anavyopatikana.
Hearsay za kwenye mitandao hizo, valid votes haziwezi kupotea na kukiwa na figisu lazima investigations zipite na ikigundulika wahusika lazima mahakamani watafika.Mbona kuna baadhi ya wachezaji na makocha wanalalamika kura zao kwenda kwa Messi ingawa wao hawakumchagua yy ?
Hivi unafikiri corporates ambazo ziko kwenye NYSE zinaweza kuhonga tu kirahisi.Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Hivi arthur & Andersen hawakuonga au kuhongwa ?Hivi unafikiri corporates ambazo ziko kwenye NYSE zinaweza kuhonga tu kirahisi.
Hivi unavyohonga hapa bongo unafikiri na kwa wenzetu ni rahisi hivyo.
Ukiona hivyo yeye kaona hakustahili, acha povu. Mwenyewe kakataa kuwa mnafki.
Au ile ya Ribbery alipopewa RonaldoAta angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Kila mtu ana individual performance, vitaje vigezo vilivyotumika kumchagua ,
Ukiona hivyo yeye kaona hakustahili, acha povu. Mwenyewe kakataa kuwa mnafki.
Nakumbushia tu mpaka sasa EUFA ilipofikia Samata anamzidi La Punga na Penaldo kwa magoli kwenye michuano hiyoAu sammata
Acha kufuatilia mpira. Utautesa sana moyo wako.Kila mtu ana individual performance, vitaje vigezo vilivyotumika kumchagua ,