VVD amekosa Ballon d'Or kwa upumbavu wake

Naaam.

Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116]

Who is the greatest player of all time?.

Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".

Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.

Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?

Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Messi sidhani , labda vvd au mbappe , ukitaka kujua hao jamaa wananominate majina ni wahuni , hawataji hata siku moja vigezo vinavyotumika kumchagua mchezaji
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.

Mswahili katika ubora wake wa kupinga na kujiona anajuwa kuliko wapiga kura 😂😂😂

Kijana, unaelewa maana ya individual performances? Je, vigezo hivyo anavyo huyo msenegali wako?
 
Hata hao waliompa messi ni chaguo lao , maana uwa hawataji vigezo wanavyotumia kumchagua mchezaji
Ni chaguo lao binafsi lakini ni wengi,professionals na wanazingatia kila kinachostahili kulinda credibility.
Kama majority ya super coaches na wachezaji(international stars) wameona anastahili basi wengi wape.
Wapo wanaoona hastahili(you're one of them) either kwa mtazamo wao au kwa sababu za kiushabiki lakini ni haki yao kuwa na mtazamo tofauti.
All in all mimi ni mmoja ya wanaoona anastahili na kwakuwa amepata hiyo tuzo historia itamkumbuka na records hizitafutika.
Ila namba moja,mbili na tatu wote wanastahili pongezi lakini hapa huwa ni 'the winner gets it all'.
Mengine nadhani uache uvivu uwe una'Google ili upate taarifa kamili za yanayojiri jinsi mshindi wa tuzo anavyopatikana.
 
Naaam.

Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116]

Who is the greatest player of all time?.

Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".

Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.

Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?

Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Vvd na yondani uchezaji wao ni sawa sawa tofauti yao ni rangi tuu
 
Mswahili katika ubora wake wa kupinga na kujiona anajuwa kuliko wapiga kura 😂😂😂

Kijana, unaelewa maana ya individual performances? Je, vigezo hivyo anavyo huyo msenegali wako?
Kila mtu ana individual performance, vitaje vigezo vilivyotumika kumchagua ,
 
Ni chaguo lao binafsi lakini ni wengi,professionals na wanazingatia kila kinachostahili kulinda credibility.
Kama majority ya super coaches na wachezaji(international stars) wameona anastahili basi wengi wape.
Wapo wanaoona hastahili(you're one of them) either kwa mtazamo wao au kwa sababu za kiushabiki lakini ni haki yao kuwa na mtazamo tofauti.
All in all mimi ni mmoja ya wanaoona anastahili na kwakuwa amepata hiyo tuzo historia itamkumbuka na records hizitafutika.
Ila namba moja,mbili na tatu wote wanastahili pongezi lakini hapa huwa ni 'the winner gets it all'.
Mengine nadhani uache uvivu uwe una'Google ili upate taarifa kamili za yanayojiri jinsi mshindi wa tuzo anavyopatikana.
Mbona kuna baadhi ya wachezaji na makocha wanalalamika kura zao kwenda kwa Messi ingawa wao hawakumchagua yy ?
 
Hearsay za kwenye mitandao hizo, valid votes haziwezi kupotea na kukiwa na figisu lazima investigations zipite na ikigundulika wahusika lazima mahakamani watafika.
Kama rais wa FIFA(the previous one/Michael Platini) alikula kibano cha mahakama hivyo ujue hakuna ambaye ni untouchable katika ulimwengu wa soka.
Hearsays na stori za vijiweni uwe makini navyo.
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Hivi unafikiri corporates ambazo ziko kwenye NYSE zinaweza kuhonga tu kirahisi.

Hivi unavyohonga hapa bongo unafikiri na kwa wenzetu ni rahisi hivyo.
 
Hivi arthur & Andersen hawakuonga au kuhongwa ?
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Au ile ya Ribbery alipopewa Ronaldo
 
Ushawahi kuona mtu mmoja kwenye ligi anakuwa mfungaji bora afu huyo anakuwa anakuwa na pasi za magoli nyingi kuliko wenzie kwenye ligi!!, afu huyohuyo anakuwa mfungaji bora katika ligi zote ulaya! Afu na bado huyohuyo anakuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa ulaya!
Kila mtu ana individual performance, vitaje vigezo vilivyotumika kumchagua ,
 
Kwani huyo VVD kwa lipi hasa apate hiyo tuzo?? Liverpool kubeba UCL moja tu?? Mbona Lucas Varane kabeba UCL tatu plus WC hakupata?? What about Sergio Ramos?? Watu wanatokwa mipovu ya kishamba sana kuhusu huyu jamaa which is not right
Ukiona hivyo yeye kaona hakustahili, acha povu. Mwenyewe kakataa kuwa mnafki.
 
Back
Top Bottom