wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Wanalazimisha VVD kwa nini sio alexander, mane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo VVD kwa lipi hasa apate hiyo tuzo?? Liverpool kubeba UCL moja tu?? Mbona Lucas Varane kabeba UCL tatu plus WC hakupata?? What about Sergio Ramos?? Watu wanatokwa mipovu ya kishamba sana kuhusu huyu jamaa which is not right
Sent using Jamii Forums mobile app