Vvt-i sensor

Vvt-i sensor

ntiluhungwa

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
79
Reaction score
59
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila nikipima kwa diagnostic machine napata code hii P1346 ambayo ni code ya vvt-i sensor bank 1 kwahiyo nimeshauriwa kufunga vvt-i sensor mpya mwenye nayo tuwasiliane kwa namba hii 0625998457 ikipatikana moshi au arusha itakuwa vizuri zaidi.Zingatia hili kuwa sihitaji iliyotumika
 
Back
Top Bottom